Yanga chezeni mpira mpate matokeo uwanjani, nyie ni timu bora msimu huu

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Nimeona marumbano mengi kuhusu usajili wa Tuisila Kisinda watu wakiituhumu yanga lakini watu wanajifanya siasa za mpira wa bongo kwamba zimeanza leo.

Karia hajawai kuwa na jema juu ya yanga na kuna wahuni serikalini wanamkingia kifua na nilishaleta uzi hapa kumwambia awe makini na anayemkingia kifua ambaye ana cheo Cha namba 4 ndani ya serikali ya jamhuri ya Tanzania.

Vyeo upita Heshima ubaki wale wafuasi wa Magufuli wananielewa ninaposema Hivi.

Nadhani hakunielewa ila Kuna siku wadau watanielewa siku akiwa blackmailed uko mbele hasije tu kusema hatukumwambia.

Tulimwambia juu ya Morrison, Tukamwambia juu ya Yanga kucheza bila mashabiki, Tukamwambia juu ya kula percentage ya kocha wa timu ya taifa kula Rushwa mafaili yake tunayo.

Namwambia tena ukweli uwa una tabia ya kuchelewa na uongo unapanda ngazi haraka Sana

Karia mwisho wako hautakuwa mzuri let me tell you. Yanga, Simba hazitapita Ila wewe utapita na mwisho wako utakuwa mgumu sana.

Nashauri yanga wainvest kwenye kupata matokeo uwanjani Yanga ni timu Bora kwa sasa ukanda huu. Kisinda January sio mbali atasajiliwa tu aanze kazi.
 
Nimeona marumbano mengi kuhusu usajili wa Tuisila Kisinda watu wakiituhumu yanga lakini watu wanajifanya siasa za mpira wa bongo kwamba zimeanza leo.

Karia hajawai kuwa na jema juu ya yanga na kuna wahuni serikalini wanamkingia kifua na nilishaleta uzi hapa kumwambia awe makini na anayemkingia kifua ambaye ana cheri Cha namba 4 ndani ya serikali ya jamhuri ya Tanzania.

Nadhani hakunielewa ila Kuna siku wadau watanielewa siku akiwa blackmailed uko mbele hasije tu kusema hatukumwambia.

Tulimwambia juu ya Morrison, Tukamwambia juu ya Yanga kucheza bila mashabiki, Tukamwambia juu ya kula percentage ya kocha wa timu ya taifa kula Rushwa mafaili yake tunayo.
Mnatoa maangalizo mengi ya maneno,vitendo hamna.Tulieni kwa utulivu au muwe na adabu.😂😂😂😂
 
Majungu tu, TFF kufuata sheria na kanuni walizojiwekea, lawama anatupiwa Karia.!!

Mmezoea mpira kuendeshwa kiswahili, na kanuni kuvurugwa, kwa sababau mnajiona nyie ni timu kubwa, hii mentality ya kishamba muifute kwenye vichwa vyenu.

Ndio maana Manara aliwahi kusema huko Yanga wenye akili ni wawili pekee.
 
Vitendo vipi!ubingwa wa ligi bila kufungwa,ubingwa wa fa,ngao ya jamii mara 2 mfululizo vitendo gani unataka,au ushasahau zile goli 2 za mayele wiki 3 zilizopita?
Hiki mnachojivunia leo kukifanya, wenzenu tulishakifamya miaka 12 iliyopita but now it is no longer a story

Watu tunaangia level kubwa zaidi nyie endeleeni kucharuana na TFF na kila siku Manara anaaapa mada za kuzidi kuijadili TFF badala ya kuijadili timu yenu muangalie wapi mboreshe ili mfike mbali kimaifa

Msipofanya hayo na kumpa kipaumbele Manara, mtaendelea kusema mmenyimwa mwaliko na CAF wakati timu zenu hazitambuliki
 
Utopolo akili zenu mnazijua wenyewe. Kwa nini hamkumuweka kwenye orodha yawachezaji 12? Mnavurunda wenyewe halafu mnalakamika na kutafuta huruma ya public? Wawajibisheni viongozi wenu.
 
Jinga sana lile jamaa! Halafu limekaa kimajungu majungu tu.
Bora wewe umekuwa mjanja kugundua Manara ni jinga linalopemda majungu kwa kuleta mifarakano ndani ya Club kutengeneza utabaka kati ya Club na shirikisho.

Kiukweli wenye akili kama zako ni wachache sana kuweza kung'amua hilo, kwa mara ya kwanza umem prove wrong manara kwenye ule msemo wake.

Now umeongeza idadi mmekuwa watatu sasa, kuna wewe, sunday manara na kikwete.

Hawa wengine wamegoma kabisa kuungana na nyinyi, wanadai "wengi wape" kwa hiyo wanataka nyinyi ndio muwafate
 
huwezi kusema mtu ni mjinga wakati kaweka hoja nzito mezani na huwezi kuzijibu. Mr Karai Kolo FC janga la kitaifa
 
Karia anafitina sana.. na Lile lisura lako kama Tako la Kambare wa kule kwetu 😁😁
 
MALALAMIKO FC..
Haya semeni tumtoe Nani hapo tumuweke kisinda.
Muwe mnatumia akili
Screenshot_20220905-133847.jpg
 
uwa wanajiona wao ni wakubwa kuliko tff
Majungu tu, TFF kufuata sheria na kanuni walizojiwekea, lawama anatupiwa Karia.!!

Mmezoea mpira kuendeshwa kiswahili, na kanuni kuvurugwa, kwa sababau mnajiona nyie ni timu kubwa, hii mentality ya kishamba muifute kwenye vichwa vyenu.

Ndio maana Manara aliwahi kusema huko Yanga wenye akili ni wawili pekee.
 
Nimeona marumbano mengi kuhusu usajili wa Tuisila Kisinda watu wakiituhumu yanga lakini watu wanajifanya siasa za mpira wa bongo kwamba zimeanza leo.

Karia hajawai kuwa na jema juu ya yanga na kuna wahuni serikalini wanamkingia kifua na nilishaleta uzi hapa kumwambia awe makini na anayemkingia kifua ambaye ana cheo Cha namba 4 ndani ya serikali ya jamhuri ya Tanzania.

Vyeo upita Heshima ubaki wale wafuasi wa Magufuli wananielewa ninaposema Hivi.

Nadhani hakunielewa ila Kuna siku wadau watanielewa siku akiwa blackmailed uko mbele hasije tu kusema hatukumwambia.

Tulimwambia juu ya Morrison, Tukamwambia juu ya Yanga kucheza bila mashabiki, Tukamwambia juu ya kula percentage ya kocha wa timu ya taifa kula Rushwa mafaili yake tunayo.

Namwambia tena ukweli uwa una tabia ya kuchelewa na uongo unapanda ngazi haraka Sana

Karia mwisho wako hautakuwa mzuri let me tell you. Yanga, Simba hazitapita Ila wewe utapita na mwisho wako utakuwa mgumu sana.

Nashauri yanga wainvest kwenye kupata matokeo uwanjani Yanga ni timu Bora kwa sasa ukanda juu. Kisinda January sio mbali atasajiliwa tu aanze kazi.
Hebu tuambie hayo malumbano umeona kati ya nani na nani? Kuna viongozi wa TFF au Utopolo wamehusika kwenye hayo malumbano unayosema? Upuuzi ameanzisha zeruzeru wenu na nyie mkajaa bila kuwa na taarifa sahihi halafu unasema ni malumbano.
 
Nimeona marumbano mengi kuhusu usajili wa Tuisila Kisinda watu wakiituhumu yanga lakini watu wanajifanya siasa za mpira wa bongo kwamba zimeanza leo.

Karia hajawai kuwa na jema juu ya yanga na kuna wahuni serikalini wanamkingia kifua na nilishaleta uzi hapa kumwambia awe makini na anayemkingia kifua ambaye ana cheo Cha namba 4 ndani ya serikali ya jamhuri ya Tanzania.

Vyeo upita Heshima ubaki wale wafuasi wa Magufuli wananielewa ninaposema Hivi.

Nadhani hakunielewa ila Kuna siku wadau watanielewa siku akiwa blackmailed uko mbele hasije tu kusema hatukumwambia.

Tulimwambia juu ya Morrison, Tukamwambia juu ya Yanga kucheza bila mashabiki, Tukamwambia juu ya kula percentage ya kocha wa timu ya taifa kula Rushwa mafaili yake tunayo.

Namwambia tena ukweli uwa una tabia ya kuchelewa na uongo unapanda ngazi haraka Sana

Karia mwisho wako hautakuwa mzuri let me tell you. Yanga, Simba hazitapita Ila wewe utapita na mwisho wako utakuwa mgumu sana.

Nashauri yanga wainvest kwenye kupata matokeo uwanjani Yanga ni timu Bora kwa sasa ukanda juu. Kisinda January sio mbali atasajiliwa tu aanze kazi.
Daa!Key board warriors

Unaweza kufikiri ni mtu wa maana mwenye position yake kumbe kijana wa form two amepewa pesa ya kifurushi na shemeji yake Mme wa Dada yake.

Upumbavu utawaua ninyi utopolo
 
Kwa hyo mwisho wa malinzi mpenda haki ulikuwa mzuri mkuu kipindi hicho mnachukua back to back Chini ya malinzi.
 
Back
Top Bottom