AZAM FC imeshinda mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu Bara, unazungumziaje mwenendo wao?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
✅ 1-0 v Simba
✅ 1-0 v Ihefu
✅ 2-1 v Dodoma Jiji
✅ 4-3 v Mtibwa Sugar
✅ 1-0 v Ruvu Shooting
✅ 1-0 v Namungo
✅ 3-2 v Coastal

Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
 
Wataishia tu kushika nafasi ya pili! Ubingwa ni mali ya Yanga kwa miaka 10 mfululizo.
 
1-0 v Simba
1-0 v Ihefu
2-1 v Dodoma Jiji
4-3 v Mtibwa Sugar
1-0 v Ruvu Shooting
1-0 v Namungo
3-2 v Coastal

Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
Yanga ndio mama nibebe
 
Simba waliona mbali kuingia Super cup hii ligi timu zote kubwa zimeshajiongeza hivyo Yule bahili atabaki anapotaka kufika

Yote Kwa yote marefa kufanya mazoezi ya kukimbia sio wajinga wale ......
 
Back
Top Bottom