ligi kuu bara

The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. ESPRESSO COFFEE

    Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

    Coastal Union haijawahi kupata ushindi mbele ya Simba kwenye ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita tangu msimu wa 2018/19. Katika mechi sita walizokutana, Simba imeshinda mechi tano na kutoka suluhu mechi tatu, Jumla Ya Magoli 21 Wagosi wa Kaya Wafungwa na simba katika Michezo hii 6...
  2. M

    Mo Dewji anzisha king'amuzi chako, Azam wanatawala sana

    Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
  3. Replica

    Playoff: Coastal Union 3-1 Pamba (5-3) | Coastal Union yafanikiwa kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara

    Timu ya ligi kuu, Coastal Union leo inacheza mechi ya marejeo na timu kutoka daraja la kwanza inayojaribu tena kurudi ligi kuu, Pamba ya Mwanza. Mechi iliyopita walitoka sare ya magoli 2-2 na mshindi yeyote wa mechi ya leo anaweka mguu ligi kuu. ======== 00' Mpira unaanza hapa uwanja wa...
  4. Abby Newton

    Tulizeni presha Simba SC na Yanga SC hawajaanza kukutana leo

    Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi mwisho wa dunia. Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote...
  5. Ghazwat

    Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 27, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Vinara wa Ligi, Mnyama Mkali Simba SC anapepetana na Dodoma Jiji FC. Mchezo inatarajiwa kuwa kali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu...
Back
Top Bottom