life

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

    Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt. Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti. Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Life is short trip

    Iife is short trip Time flies but flies with people
  3. Sema kama nenga

    JamiiForums Tanzania Priceless human life is wasted in sexual indulgence but sexual desires are never satiated

    One of the disciples of Socrates asked his teacher,"my venerable master kindly, instruct me how many times a house-holder can have copulation with his legal wife?" Socrates replied, "only once in his life time" The disciple said, oh my lord! this is absolutely impossible for worldly men. pray...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania That man ought to be serving a life sentence-rightfully held accountable for his central role in planning and executing crimes

    Rather than enjoying impunity, Mafwele ought to be serving a life sentence-rightfully held accountable for his central role in planning and executing crimes against humanity. The magnitude of his actions demands not just national condemnation but int'l judicial intervention. Britanicca
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania This is a fact of life: Maisha ni fumbo gumu. Ishi leo yako ukiwa hapo, ipo kesho utakuwa mahali pengine. Amri moja nawaachia - Pendaneni..!!

    PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...? Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw.Kassim Majaliwa...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wasomi Eleweni: Life Rewards Action, Not Intelligence

    Katika jamii nyingi, hasa zile zenye utamaduni wa kuheshimu elimu na shahada, wasomi mara nyingi huamini kuwa akili na maarifa yao ndiyo msingi wa mafanikio. Wamejifunza kwa bidii, wakapata vyeti, na sasa wanahisi maisha yanapaswa kuwazawadia kwa sababu ya "kujua zaidi." Lakini ukweli wa maisha...
  7. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  8. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli watu huwa mnapitia changamoto na mkishazikabiri huwa kuna mafunzo mnapata na hamfanyi tena hayo makosa?

    Habari za usiku wakuu,. Husika na mada tajwa hapo juu Hivi ni kweli watu huwa mnapitia changamoto na mkishazikabiri huwa kuna mafunzo mnapata na hamfanyi tena hayo makosa??, au labda yanaweza kurudia kwa namna nyingine na kwa kutumia uzoefu mnayaepuka au hamyarudii kabisa?? Mie nadhani kwangu...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vijana Jikomboeni! Msikubali Kuishia Mtaani – Njooni Nifungue Akili Zenu, Life Haikosi Hope!

    Listen up vijana! Msisoteseke bure mitaani mkijiona kama dunia imewageuka – it's time to wake up and boss up. I’m here to open your minds na siyo kwa dharau au kujifanya najua, but kwa sababu I feel your pain. Najua hali ya nchi ilivyo, najua pressure iko juu, but trust me, kuna njia ya kutoka...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Siasa hazitulipi, life is real out here!

    Yaani bro, let’s keep it 100—sio kwamba hatujui kinachoendelea kwenye hii nchi, au hatujali siasa… we know everything, tupo macho, but truth be told hatuna muda na hizo stress. Life yenyewe ni ngumu kinoma, tunaibeba kichwani daily, halafu unataka tuongeze na stress za siasa juu? Hell no bro...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Marriage Confession: I Became the 'Other Woman' in My Own Life

    Marriage Confession: I Became the 'Other Woman' in My Own Life https://www.youtube.com/watch?v=DAYVqZDbFkw I Used to Judge Wives Like You, Until I Realized I Was Talking About Myself There's something I need to get off my chest, something I've never really said out loud, not like this. It’s...
  12. Elton Tonny

    JamiiForums Tanzania Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★ Ni usiku wa saa tatu ndani ya hospitali moja ya mtaa, ambapo kuna watu wengi hapa...
  13. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Watu Wanaopost Maisha ya Kifahari: Motivational au Ushawishi wa Kujichukia? 🤑📱

    Unawahi kufungua Instagram asubuhi tu, bado upo kitandani, halafu kitu cha kwanza unakutana nacho ni mtu kaweka picha ya breakfast ya kifahari – croissant, avocado toast, na kahawa ya Starbucks… huku wewe unatafuna mkate wa jana na chai ya majani? 😅 Kila siku timeline inajaa na watu wanaoishi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life

    Habarini, Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Hizi ndio "Prison Cells" za Ujerumani na Denmark.. =========== Shikamoo Wazungu..
  16. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania You Can Attain Your Life Goal

    Paul Getty who is billionare ( egual to 1000 millionares) says that: The secret of Success is just two words TRY HARDER! The greater your difficulties,the harder you need to try to overcome them,and the harder you try,the more you Succeed Ni hayo tu!
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya mambo 10 katika maisha ( Ten commandments of life )

    1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada. 2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako. 3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu. 4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na watoto wadogo 5. Mtoto mdogo ndiye pekee anayependwa bila sababu. Ukiwa mtu mzima utapendwa kwasababu...
  18. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania What is Life.

    Life is like those breasts, everyone will stare and admire only if it’s worth something. Life is like a porn video, interesting to see but actually tough to be carried out. Life is like a sudden morning boner, everybody will judge you instead of knowing the truth. Life is like a finger, everyone...
  19. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Life

  20. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Fiji kutafuta life nipeni abc zake

    Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu mbalimbali waliowahi fika uko au wanajua mengi kuhusu uko. #Toka magheton, ingia kiwanjani
Back
Top Bottom