leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tour Guide Feki, Leseni Feki – Mfumo Mnaulinda Weh, Lakini Sisi Tutaumbua Mpaka Mwisho

    Jamani hebu tuwe real kidogo... tusiwe wanafiki walahi! Hii sekta ya utalii na utamaduni imeingiliwa na watu wa ajabu ajabu, yaani watu wa mtaani wanavua magwanda ya boda boda, kesho unamkuta anakwambia “Hey I’m your professional guide, welcome to Tanzania” – kumbe jamaa hata hajui tofauti ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Leseni 8,000 za Uchimbaji Madini zatolewa, maeneo 65 yatengwa

    TUME ya Madini imetoa leseni 8, 501 katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 ikilinganishwa na lengo la kutoa leseni 10,294. Hayo yamesemwa Bungeni jijini Dodoma, leo Mei 2, 2025 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde (MB) akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kutambulisha leseni mpya maalum ya uzalishaji chumvi, Waziri Mavunde aelekeza mchakato wa mabadiliko ya sheria kuanza

    Serikali ipo mbioni kutambulisha Leseni mpya ya uzalishaji wa chumvi ili kuiondoa chumvi katika kundi la madini mengine na hivyo kuchochea ukuaji wa tasnia ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jijini Dodoma wakati wa Kikao cha Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde na Uongozi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatunga Kanuni kuzuia Wageni kuingia kwenye leseni ndogo za uchimbaji madini bila utaratibu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama...
  5. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  6. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kupata leseni ya udereva tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Sagini: Gongo na Pombe za asili zinaruhusiwa kutengenezwa ukiwa na Leseni maalum Kisheria

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amesema pombe aina ya gongo, machozi ya simba, moshi au umeme, inaweza kutengenezwa ikiwa mtengenezaji ana leseni inayotolewa kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha Sheria ya Kudhibiti Pombe za Asili. Aidha, amesema mtu yeyote anayekusudia kutengeneza...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli Ni Kwamba Hizi Ndio Industries Zinazotakiwa Kua na Leseni Kundi A

    Watu wengi wanaposajili Kampuni hua Wana stack kutafuta leseni sababu wanakua hawajui ni leseni gani hasa wanatakiwa kua nayo. Kwenye Thread hii nimekuandikia list ya Industries ambazo zinatakiwa kua na leseni Kundi A. 1. Importation industry Kama Kampuni yako inajihusisha na mambo ya...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa madini: Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni ianze utekelezaji wake mara moja

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta manufaa kwa taifa kwa ujumla na kutimiza azma ya Serikali kutoa leseni hizo. Mavunde ametoa maagizo...
  10. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

    Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Gari la 'Actress' sasa yoyote mwenye Leseni anaweza Kuliendesha kwa wakati huu muhimu asiligonge tu

    Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Aina za Taarifa Unazotakiwa Kuwa nazo Wakati wa Kuomba leseni Kundi A

    Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi. Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A. 1. Taarifa Za Directors Hapa utatakiwa uwe na taarifa zote za directors wa Kampuni husika, NIDA namba, tarehe za...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kingoba: JAB kutoa leseni za Uandishi wa Habari za Kidigitali, kulipiwa 50,000 kwa miaka miwili

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi Habari Tanzania (JAB) imepanga kutoa kadi za kidijitali ili kulinda wanahabari katika suala la utunzaji wa taarifa zao. Kauli hiyo imetolewa tarehe 18 Machi, 2025 jijini Dar es Salaam na Mjumbe wa Bodi hiyo, Mgaya Kingoba, wakati akijibu maswali wakati wa mahojiano...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya leseni 4,000 kutolewa Mbogwe (Geita), Wazawa waitwa kuchangamkia fursa

    ZAIDI ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza katika mahojiano, Afisa Madini Mkazi wa Mbogwe, Mhandisi Jeremiah Hango...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hiki kitengo chenu cha mapato na leseni mbona hivi????

    Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza mtu,mapato ghafi au faida,au kuwepo tu na biashara ndani ya frem imekula kwako utakamuliwa tu?Haya mambo...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini kitambulisho cha taifa Tanazania kwa USA ni sawa na leseni ya udereva wakati leseni ya kwao imebeba mambo mengi kuliko sisi

    Leseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania. Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
  17. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania Pharmacist mwenye leseni anahitajika kusimamia Phamarcy

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY: NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  18. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania Pharmacist mwenye leseni ahitajika

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY: NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara kubwa ikifika level VAT kodi inapokuwa kubwa uzifunga au ubadilisha leseni na jina la kampuni au biashara.

    Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni mara wanapofikia kiwango cha kulipa VAT ni pamoja na: 1. Mzigo Mkubwa wa Kodi • Kodi ya VAT ni...
  20. Bila bila

    JamiiForums Tanzania TFF anzisheni Leseni ya uchambuzi WA soka.

    Kwa Hali ilivyo Sasa, Mtu anatoka baa anapitia studio anahojiwa eti ni Mchambuzi wa soka inafubaza ubora WA soka la Tanzania. Kama mawakala wa Wachezaji Wana Leseni na wanafanya mitihani kabla ya kuzipata iweje kuchambua soka ambako kunahitaji utaalamu zaidi iwe holela? Mtu aliyefeli kwenye...
Back
Top Bottom