leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Renew leseni yako Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Hakikisha una Renew leseni yako ya biashara Mapema. Kama leseni yako huisha December.
  2. Golden Trust

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya Biashara ya mapochi

    Habari zenu wana Jf naombeni muongozo kwa anaefahamu Nataka kufanya Biashara ya kuuza mapochi ya kike. Lakini changamoto kwenye kukata leseni sijui inasimamiwa katika kipengele kipi he ni urembo au kuuza mabegi,?
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Hatua za Kupata Leseni na kufanya Biashara ya Kuuza Nafaka (Mazao)

    Ngazi za Biashara ya Mazao Ngazi ya Kaya Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni. Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi. Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji Baadhi...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo yaahidi kufuta kigezo cha leseni kwa wavuvi

    Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Chama hicho kimekosoa utaratibu wa wavuvi kulipia leseni wakati huohuo wakikatwa tozo ya mafuta...
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda umiza na jinsi ya kupata leseni

    Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na sinema. Ili biashara hii iwe halali, mfanyabiashara anatakiwa kupata leseni ya biashara kulingana na...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi B?

    Migahawa, hoteli za kawaida, wakala wa bima, vyama vya ushirika, usajili wa abiria, viwanda vidogo, udalali, na biashara za jumla/rejareja.
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi A?

    Biashara zenye mtaji mkubwa kama vile benki, bima, huduma za mawasiliano, bandari, utalii, na maduka ya kubadilisha fedha.
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ni nyaraka gani zinahitajika kuomba leseni?

    Hati ya TIN kutoka TRA Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni) Mkataba wa pango (kama umepanga) Tax Clearance Certificate kutoka TRA Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf. TCRA, TBS, EWURA, TMDA, n.k.)
  10. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara na Kupata Leseni ya Saloon ya Kiume

    Masharti ya Mwombaji Ili kupewa leseni ya saloon ya kiume, unatakiwa: Uwe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi. Usiwe na rekodi ya makosa ya jinai. Uwe na eneo lililoidhinishwa kisheria na linalokidhi viwango vya usafi na afya. Uwe na mkataba wa pango iwapo fremu ya biashara...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Butcher (Kuuza Nyama)

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara Kwanza kabisa, ni muhimu kufahamu kuwa kufanya biashara bila leseni ni kosa la kisheria. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 inaeleza wazi kuwa kila mfanyabiashara anapaswa kuwa na leseni ya biashara. Kwa butcher, leseni hii ni sharti ili kutambulika rasmi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara

    Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo. Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today; 1. Kwenye halmashauri Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni. Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Urasimu wa kutoa vyeti vya Madereva wanaohuisha leseni zao

    Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika daraja lake la leseni. Kero iliyopo sasa hivi ni urasimu wa vyeti kuchukua muda mrefu kusomeka kwenye...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hautapewa leseni ya biashara kama Hauna Hizi Taarifa

    Ili uweze kufanya biashara kihalali Tanzania ni muhimu sana uwe na leseni ya biashara. Sasa Kuna taarifa Tano lazima uwe nazo ili upewe leseni ya biashara; 1. Aina ya Biashara, Ni lazima uweke wazi ni biashara gani unataka kufanya mf; Vifaa vya simu 2. Wilaya/halmashauri Ni lazima useme ni...
  16. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Je, utaratibu wa leseni sasa hivi mpaka upeleke cheti kipitishwe hasa class D?

    Maana kuna mdau amesema yeye kapeleka cheti sehemu usika ajabainisha ni polisi au tra lakini sasa iyo ipoje naona kama ni hivyo utakua utaratibu mpya ama wajuzi tujuzane kunitoa kwenye sinto fahamu
  17. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Leseni kwa walevi

    Habari ! Naomba kuuliza, Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo kiholela? Kwamba iwe kwa kila mpenda unywaji pombe au kileo sharti awe na Leseni ya yake ya kugida...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: Nikiwa Rais Watu watakunywa pombe kwa Leseni

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya wananchi wa Zanzibar kuwa Rais watu wanaotaka kunywa pombe watatakiwa kuwa na leseni ili kujenga nidhamu kwa Wazanzibar na kwa yule atakayekiuka...
  19. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  20. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

    Naombeni mchangie tafadhari
Back
Top Bottom