Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga.
Faida unazopata ukiwa...
▪️Ni maelekezo ya Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan
▪️Lengo ni kukuza uwekezaji wa STAMICO kwenye madini mkakati
▪️Waziri Mavunde akabidhi Leseni na kuelekeza uendelezaji wa Leseni kuanza mara moja
▪️Mradi utachochea ukuaji wa Uchumi Morogoro
Morogoro
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao.
1. Uhalali wa Kisheria na Uaminifu
Kumiliki leseni ya biashara kunakupa heshima na hadhi kisheria. Mteja...
Umofia kwenu wanajamvi.
Ninatafuta kampuni inayouzwa na inayojihusisha na maswala ya usafiri wa Anga (Abiria na Mizigo). Sharti iwe na usajili na iwe na umri wa at least miaka mitano (5). Kampuni hiyo iwe au isiwe na vyombo hivyo vya usafiri sio hoja kubwa, ni kuwa na leseni (5 years on...
kumbe kuchapisha maudhui mtandaoni mpaka uwe na leseni au wachokonozi wanaonewa na mamlaka ya Tanzania?
Nimesikia kundi la wachokonozi linadaiwa kuchapisha vitu bila leseni mtandaoni naomba kuuliza kuchapicha video YouTube, au tiktok au jamiiforums ni mpaka uwe na leseni ?
Ndugu wana JF,
Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu.
Vigezo ninavyotafuta:
Awe na leseni hai (valid practicing certificate)
Awe na uzoefu wa kushughulika na kesi au...
Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania
Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata hatua hizi:
Tembelea tovuti rasmi: www.business.go.tz
Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Huduma”
Chagua...
Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa
Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni:
Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters)
2. Huduma...
Nyaraka Muhimu za Kuambatisha
Unapoomba leseni ya biashara, utatakiwa:
Kuwasilisha TIN (Taxpayer Identification Number) kutoka TRA ili kuthibitisha kuwa umejiandikisha kama mlipa kodi.
Kama ni kampuni, jumuisha cheti cha usajili wa kampuni.
Onyesha mkataba wa pango kama biashara ipo eneo la...
Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja
Inatambulisha biashara yako kama halali.
2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika.
3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali.
4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
RAIS SAMIA AWABEBA WACHIMBAJI WADOGO KWA KUFUTA LESENI KUBWA 2,600, MAPATO YAO YAONGEZEKA MARA5!
Wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo walichangia 20% sawa na TZS 124bn kwenye Mapato yote ya Serikali yatokanayo na madini. Mwaka 2024/25 wamechangia 40% sawa na TZS640bn. Wakati...
Burkina Faso imefuta leseni za mashirika manne ya misaada ya kiutu ya kigeni kuendesha shughuli zao nchini humo, na kusimamisha mashirika mengine mawili.Kwa mujibu wa amri ya serikali, iliyotiwa saini katikati ya mwezi Juni, inamnukuu waziri mmoja wa serikali akisema kuwa hatua dhidi ya...
Jumla ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025.
Hayo yameelezwa Mei 28, 2025 jijini Mwanza na Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini, Mhandisi Aziza Swedi, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Mhandisi...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Mei 05, 2025 jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji.
Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
Habari, wana-JF naomba kueleweshwa kuhusu vibali vinavyohitajika kabla sijafungua biashara mpya, maana kuna kauli za kisiasa na sheria zilizopo vinanichanganya.
Ikumbukwe, mwaka 2023 ilitoka kauli kutoka kwenye serikali ya Samia kuwa wafanya-biashara wapya watapewa muda kufanya biashara kwa...
Jamani hebu tuwe real kidogo... tusiwe wanafiki walahi! Hii sekta ya utalii na utamaduni imeingiliwa na watu wa ajabu ajabu, yaani watu wa mtaani wanavua magwanda ya boda boda, kesho unamkuta anakwambia “Hey I’m your professional guide, welcome to Tanzania” – kumbe jamaa hata hajui tofauti ya...
TUME ya Madini imetoa leseni 8, 501 katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 ikilinganishwa na lengo la kutoa leseni 10,294.
Hayo yamesemwa Bungeni jijini Dodoma, leo Mei 2, 2025 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde (MB) akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha...
Serikali ipo mbioni kutambulisha Leseni mpya ya uzalishaji wa chumvi ili kuiondoa chumvi katika kundi la madini mengine na hivyo kuchochea ukuaji wa tasnia ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dodoma wakati wa Kikao cha Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde na Uongozi...
Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.