leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara

    Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara 1. Leseni ya biashara ni nini? Leseni ya biashara ni kibali cha kufanya biashara kinachotolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya Biashara Na.25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake. 2. Ni makundi gani ya leseni ya biashara yapo? Kuna...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya Uuzaji Bidhaa Jumla na Rejareja (Wholesale & Retail Trade)

    1. Pata TIN Number kutoka TRA Hatua ya kwanza ni kuhakikisha unayo Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hii ndiyo nyaraka ya msingi inayothibitisha kuwa wewe ni mlipa kodi halali. Bila TIN, huwezi kuendelea na mchakato wa maombi ya leseni ya biashara...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Songwe awataka wachimbaji wadogo kuwa na leseni

    Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame baada ya kukutana na wachimbaji hao kutoka eneo la Kampilipili.
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Leseni ya Duka la Vipodozi

    Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni hii ndiyo itakayo kuthibitishia kisheria kuwa unaruhusiwa kufanya biashara na pia inaleta uaminifu...
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Leseni ya biashara ya duka lako la nguo

    Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga. Faida unazopata ukiwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania STAMICO yakabidhiwa leseni kubwa ya utafiti na uchimbaji madini adimu vilima vya wigu, morogoro

    ▪️Ni maelekezo ya Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan ▪️Lengo ni kukuza uwekezaji wa STAMICO kwenye madini mkakati ▪️Waziri Mavunde akabidhi Leseni na kuelekeza uendelezaji wa Leseni kuanza mara moja ▪️Mradi utachochea ukuaji wa Uchumi Morogoro Morogoro Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Faida za kuwa na leseni ya biashara

    Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao. 1. Uhalali wa Kisheria na Uaminifu Kumiliki leseni ya biashara kunakupa heshima na hadhi kisheria. Mteja...
  8. iCode

    JamiiForums Tanzania Nanunua Kampuni yenye leseni ya usafiri wa Anga.

    Umofia kwenu wanajamvi. Ninatafuta kampuni inayouzwa na inayojihusisha na maswala ya usafiri wa Anga (Abiria na Mizigo). Sharti iwe na usajili na iwe na umri wa at least miaka mitano (5). Kampuni hiyo iwe au isiwe na vyombo hivyo vya usafiri sio hoja kubwa, ni kuwa na leseni (5 years on...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania kumbe kuchapisha maudhui mtandaoni mpaka uwe na leseni au wachokonozi wanaonewa na mamlaka ya Tanzania?

    kumbe kuchapisha maudhui mtandaoni mpaka uwe na leseni au wachokonozi wanaonewa na mamlaka ya Tanzania? Nimesikia kundi la wachokonozi linadaiwa kuchapisha vitu bila leseni mtandaoni naomba kuuliza kuchapicha video YouTube, au tiktok au jamiiforums ni mpaka uwe na leseni ?
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania "Nahitaji Wakili Mwenye Leseni Halali kwa Ushirikiano wa Kudumu wa Kitaaluma

    Ndugu wana JF, Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu. Vigezo ninavyotafuta: Awe na leseni hai (valid practicing certificate) Awe na uzoefu wa kushughulika na kesi au...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Leseni ya Biashara Kundi A, na Jinsi ya Kuipata

    Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata hatua hizi: Tembelea tovuti rasmi: www.business.go.tz Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Huduma” Chagua...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Tambua Biashara Yako Inahitaji Leseni Gani

    Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni: Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters) 2. Huduma...
  13. youngkato

    JamiiForums Tanzania VIGEZO VYA KUPATA LESENI YA BIASHARA

    Nyaraka Muhimu za Kuambatisha Unapoomba leseni ya biashara, utatakiwa: Kuwasilisha TIN (Taxpayer Identification Number) kutoka TRA ili kuthibitisha kuwa umejiandikisha kama mlipa kodi. Kama ni kampuni, jumuisha cheti cha usajili wa kampuni. Onyesha mkataba wa pango kama biashara ipo eneo la...
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Duka la fremu

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja Inatambulisha biashara yako kama halali. 2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika. 3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali. 4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
  15. Doubleclick

    JamiiForums Tanzania Hili la kufuta leseni 2,600 za matajiri na kuwapa Vitalu Wanyonge kunaweza kumpa kura zaidi kanda ya ziwa

    RAIS SAMIA AWABEBA WACHIMBAJI WADOGO KWA KUFUTA LESENI KUBWA 2,600, MAPATO YAO YAONGEZEKA MARA5! Wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo walichangia 20% sawa na TZS 124bn kwenye Mapato yote ya Serikali yatokanayo na madini. Mwaka 2024/25 wamechangia 40% sawa na TZS640bn. Wakati...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yafuta leseni za mashirika manne ya kigeni

    Burkina Faso imefuta leseni za mashirika manne ya misaada ya kiutu ya kigeni kuendesha shughuli zao nchini humo, na kusimamisha mashirika mengine mawili.Kwa mujibu wa amri ya serikali, iliyotiwa saini katikati ya mwezi Juni, inamnukuu waziri mmoja wa serikali akisema kuwa hatua dhidi ya...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini: Zaidi ya Migodi 13,279 na Bohari za Baruti 164 imekaguliwa

    Jumla ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025. Hayo yameelezwa Mei 28, 2025 jijini Mwanza na Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini, Mhandisi Aziza Swedi, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Mhandisi...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde amzawadia mwandishi bora sekta ya madini leseni ya utafiti

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Mei 05, 2025 jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mavunde: Tutazifutia leseni kampuni 95 za uchimbaji zilizoshindwa kuendeleza maeneo waliyopewa na Serikali

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji. Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
  20. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Vibali vipi vinahitajika ili kufungua biashara?

    Habari, wana-JF naomba kueleweshwa kuhusu vibali vinavyohitajika kabla sijafungua biashara mpya, maana kuna kauli za kisiasa na sheria zilizopo vinanichanganya. Ikumbukwe, mwaka 2023 ilitoka kauli kutoka kwenye serikali ya Samia kuwa wafanya-biashara wapya watapewa muda kufanya biashara kwa...
Back
Top Bottom