lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Takwimu za MOI zinaonesha Lema yupo sawa kuhusu "laana" ya bodaboda

    Godbless Lema hakueleweka na watu kwa kauli yake kuwa kazi ya bodaboda ni laana. Lakini ukiangalia takwimu kutoka taasisi ya mifupa Muhimbili utagundua Lema ana point. Hapo ni Muhimbili tu, nchi nzima ni zaidi ya vijana 1500 huumizwa vibaya kwa mwezi sawa na zaidi ya vijana 15,000 kwa mwaka...
  2. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

    Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka! Kuna watu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uzito wa Gambo na Lema sio sawa kwenye ulingo. Sio fair kwa Gambo

    Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha. Sababu kubwa Arusha wanaamini kwa makusudi serikali kwa miaka mingi haikuwa upande wao kuanzia kodi, tanzanite na miradi ya...
  4. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Tuk tuk trut tuuu tuuu paaa!

    😅 Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku Ukisikia tuk tuk tru tru tuu tuuu tuu paaa! 🛵🔫yaani mlio ya bajaji na vibodaboda vilivyokosa ka...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa dharula: Godbless Lema anaenda kupasua jipu

    Kuna kitu hakiko sawa na kinaenda kutolewa ufafanuzi muda mfupi ujao. Nadhani hii haikuwepo katika ratiba yake ila ndugu Godbless Lema anaitisha mkutano wa hadhara wa dharula, ngoja tuone na mlio karibu msisite kutoa updates. Kupitia ukurasa wake wa tweeter Lema amesema; "Kamanda John Heche...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Lema, umelikoroga, rudi Canada kwanza ujifikirie

    Lema amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Karudi ana mawazo ya ajabu ajabu na bado anafikiri yupo kipindi cha Magufuli, kile cha ugomvi ugomvi na mivutano. Anachoongea sasa ni kama samaki aliyetolewa majini. Hajui siasa za Tanzania zimesonga. Ameanza kwa kuwananga madereva wa bodoboda, ati kazi...
  7. Paulo

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    Amani iwe kwenu Great thinkers Kwa kweli wote tumeona ushujaa uliooneshwa na Mbunge wa Chadema Arusha mjini katika kudai uchaguzi huru wa meya na naibu wake. Katika harakati hizo ilipelekea yeye kupigwa kionevu na polisi hadi kulazwa hospitali. Still hakukata tamaa, na akaanda maandamano...
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mmoja ya watu ambao wataiua CHADEMA ni Godbless Lema

    Ukimsikiliza Lema haongei kwa bahati mbaya. Anachoongea na anachofanya sasa ni kufitinisha Wanachama na Chama Cha CHADEMA. Alianza na kusema waendesha Boda boda wamelaaniwa. Hivyo, hata kula zao hahitaji. Sasa anasema wasajili line za simu wafukuzwe makwao maana hawana wanachofanya. Lakini...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri. Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa Hii ni kinyume na katiba. 👇
  10. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema wewe ni nani mpaka useme utashughulika na Geordavie?

    Hapo vip! Binafsi huwa simuelewagi Lema, namuona kama kiongozi tapeli anaetumia siasa kutengeneza maisha yake. Na mimi niwasihi watu wa Arusha wafikiri nje ya box, wampuze huyu tapeli asiyekuwa na uchungu na changamoto za watu wa Arusha. Huyu mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka kumi na tano...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lema amuomba Rais Samia kurejesha biashara ya Tanzanite Arusha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha. Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na kitabu Nchi ya wasioona(The country of the blind)

    Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde lililokuwa limezungukwa na milima iliyosimama wima pande zote. Bahati akakuta kuna watu wanaishi...
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania WanaCCM Arusha wamtaka Mrisho Gambo naye aitishe mkutano wa hadhara kujibu mapigo ya Lema

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara. Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

    Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.Akiwa kwenye gari ya wazi akiwaoungia mkono maekfu kwa maelfu WanaDares salaam waliouja kumlaki,akiwa na Winnie Mandela na...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa kila mahali waliofanya makosa wakishirikiana na Sabaya nao wahojiwe au Sabaya aachiwe.” “Mbona Serikali inachagua, kama ni hivyo basi...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa? Nyie wafuasi wa CHADEMA...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Lile nyomi la mapokezi ya Lema lililetwa na malori mangapi?

    Sisi WanaCCM tumezoea kusombwa na malori kwenda kupokea viongozi wa kitaifa wanapokuja kufanya ziara za kichama hata kiserikali. Baada ya uminywaji wa demokrasia kwa miaka zaidi ya 8, hatimaye vyama vya siasa vimeruhusiwa kuanza kufanya shughuli zao kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Lissu na Lema wamerudi Salama. Chadema wameanza kufanya Mikutano. Rais Samia ashukuriwe sana

    Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani upepo wa kisiasa nchini umebadilika sana . Tumeona Mikutano ya kisiasa ikirejea nchini, siasa za vyama vya upinzani majukwaani zimerudi tena na mazungumzo ya kuimarisha Demokrasia yanazidi kushika kasi. Kubwa zaidi tangu Rais Samia ashike madaraka...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

    Wakuu natanguliza salamu , poleni kwa Ugumu wa Maisha unaowakabili nchini Tanzania kwa sasa , , basi baada ya pole hizo naingia moja kwa moja kwenye mada Ile siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Wananchi wa Arusha , imekwisha wadia , Unaambiwa usiku wa deni hauchelewi , yaani ukieagama tu...
  20. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
Back
Top Bottom