lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

    Diwani wa Kata ya Ngarenaro kwa tiketi ya CHADEMA, Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema kuwa hajui kazi na majukumu yake kama kiongozi wa juu wa CHADEMA na pia kama Mbunge amefukuzwa uanachama kwa kosa la kukiuka kanuni na misingi ya uanachama wa chama. Kufukuzwa Uanachama kunamfanya kupoteza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

    Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT. Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu. Godbless Lema naye anatajwa kuhamia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chadema ni kama vile wanabet Mbowe yuko mahakamani na Tundu Lisu yupo uhamishoni wamebaki Sugu na Lema

    Kupanga ni kuchagua na mara zote umakini unahitajika sana. Chadema inakwenda kwenye uchaguzi mkuu utakaompata Mwenyekiti na makamu wake pamoja na kamati nzima ya utendaji. Miongoni mwa wagombea wa nafasi hizo ni mh Mbowe na wakili msomi Tundu Lisu bila kumsahau mh Mwambe. Angalizo muhimu...
  4. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

    Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM. Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA. Inasemekana Godbless Lema...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lema amtaka Humphrey Polepole kugombea ubunge Arusha Mjini

    Hii ni baada ya Polepole kuropoka kwamba CCM itashinda ubunge Arusha Mjini . Lema amemtaka Polepole kuchukua fomu yeye mwenyewe binafsi na apande jukwaani ili kupambana naye kwa lengo la kukata mzizi wa fitna , Polepole pia ameombwa kuchukua polisi wote wa Arusha wamlinde yeye tu na kura zote...
Back
Top Bottom