Godbless Jonathan Lema hana dhamana yoyote katika nchi hii, Lema sio Mwenyekiti wa Kitongoji, Sio Mwenyekiti wa Mtaa, sio Mwenyekiti wa Kijiji, sio Diwani na wala sio Mbunge.
Inakuwaje watanzania badala ya kumpuuza wanaendelea kumjadili mtu ambaye hana dhamana yoyote mbele ya umma wa...