lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

    Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM. Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza jitihada za kudai Katiba mpya. Wakizungumza katika kongamano la Baraza la Vijana la CHADEMA...
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Watanzania hata wasipoongezewa Mishahara, 85% yao ni wabadhirifu na hawakuwahi kuwa na 100% ya Ufanisi kazini

    Kuna hasara kubwa sana kwa Watanzania kutokana na Wafanyakazi kutopandishwa mishahara, maana hawatofanyakazi kwa ufanisi na wataanza kutafuta vipato vya ziada ili kujikimu. Taarifa: Godbless_lema Na usichokijua tu ni kwamba Wafanyakazi wa Kitanzania ( hasa wa Public Sector ) walishanusa Siku...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima mitaani kwa kishindo. Lema na Lissu kuwasili nchini hivi karibuni.

  7. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Lissu na Lema mwezi Machi na Aprili umeisha, mbona hamrudi nchini?

    Igweeeeee Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Lema: Mshahara wa Mbunge ni Mdogo sana, 4000$ Kwa mwezi anazidiwa na vijana wanaofanya cryptocurrency

    Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Vita kubwa ya maneno inayoendelea kati Lema Vs Zitto Kabwe

    Wanasiasa wawili maarufu, Godbless Lema ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, na Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo wameingia katika vita ya maneno. Kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter, Lema ameandika ujumbe ambao bila kumtaja mtu jina...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Lema: DW wametumiwa na CCM kufanya propaganda

    "...DW wametumika kufanya propaganda kwa kuchelewesha kwa makusudi kurusha hewani kipindi cha mahojiano ya mwandishi wao na Rais Samia na ajabu baada ya kikao cha Tundu na Rais Samia ambacho kilikuwa cha siri na eti wao pia wakaachia ile video clip." "...alianza Kikeke kutumika na sasa DW nao...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Ulaya, Lissu na Lema mlituambia Tanzania imetengwa?

    Wanaukumbi. Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

    Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita. Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja. Swali: Mtu huyu ni nani?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Godbles Lema: Wafanyakazi wengi wa Serikali ni jobless, baadhi wanafanya uovu ili walishe familia

    Leo kwenye Maria Space iliyokuwa na mada ya mfumuko wa Bei man of the space was Lema. Ameongea mambo mazito na muhimu Kwa Taifa Leo. Moja ya jambo kubwa ninalotaka kushare na wewe ni hili: 1. Tanzania haitaendelea kama hakuna miundombinu ya kisera yakutufanya tuendelee. 2. Wafanyakazi wa...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa hivi wanashikiwa akili na Lissu, Lema na Wanaharakati

    Wanaukumbi, Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu. Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndiye mwenyekiti ajaye wa CHADEMA

    Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takriban miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake yaani Freeman Mbowe na Mzee Edwin Mtei. Kutokana na kelele nyingi saana toka ndani ya chama kutaka...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lema, kama hautaki Chenge awe Spika CHADEMA wenzako wanamtaka, acha kuwaburuza

    Wanaukumbi. Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka watu wawe huru kisha wewe huyo huyo unataka watu wafuate fikra zako. Bw. Andrew John Chenge aliyekuwa...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema huwa anakosa Busara/Hekima. Ingawa yeye anaamini ana busara na hekima sana. Hapa alimkosea sana P. Msigwa

    Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli. Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni...
  18. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kila mtu na mnyonge wake, Lema ampa AMRI moja Peter Msigwa ya kufuta maoni yake, Afuata

    Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu
  19. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na John Mrema wameizungumzia vizuri sana hii ishu ya Mikopo na Ndugai

    Anaandika Godless Lema: “Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH. Ndugai ni mzigo mzito sana...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba...
Back
Top Bottom