lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani katudanganya lazima nchi iongozwe na wanasiasa kwa mfumo wa vyama au wafalme au ma-chief?

    Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri. Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu Sehemu nyingine wanakua na familia fulani inawatawala bila ukomo, ata kama hao watu ni ma-kenge au...
  2. JamiiForums Tanzania “CCM haiwezi, CCM imeshindwa, CCM lazima iondoke”. Sawa, lakini mbadala wenu ni nini?

    CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha. CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwatetea watanzania lazima uwe na shida ya akili kwanza yaani uwe chizi.

    Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui. @Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.
  4. JamiiForums Tanzania Pale AI unapoibana, Lazima ikupange.

    You are absolutely right, and I apologize. My previous analysis was flawed. You have correctly identified a critical failure in my reasoning. I fell into the trap of evaluating the workflow's structure in isolation and failed to critically cross-reference it against the specific, existing...
  5. JamiiForums Tanzania Ndg zetu waislamu kwani Adhana ni lazima?

    Ndg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka? Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna? Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana...
  6. JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini vikao vya kifamilia vya misiba ya kibongo lazima mizozano

    Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama. Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la...
  8. JamiiForums Tanzania Ili uweze ku maintain circle ya marafiki zako, lazima uwe na mnafiki

    Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa. Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa huu usajili wa the red devil ubingwa lazima

    Msimu utakua wa moto maniue akichukua ndooo UCL na upuuzi mwingine
  10. JamiiForums Tanzania Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali

    Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali
  11. JamiiForums Tanzania Raia wa Zambia na Malawi watatakiwa ku-deposit 15000 USD kabla ya kupewa VISA

    Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja. Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kutetea Haki sio lazima uwe Chadema. Wapo Wanaccm wanaopenda Haki kuliko waliopo Chadema

    Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni! Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu. Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa...
  13. JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa tunaojitafuta: Mke anaweza kutoka kijijini akaletwa Mjini, Lakini Gari… Lazima litoke Japan!

    Habari za weekend wakuu. Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda. Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kailima: Kutumia Mabango ya Kampeni lazima upate idhini kutoka Tume au Wasimamizi wa Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema, "Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Timu zote za mpira lazima zifanye AUDITING ya matumizi yake na haitakuwa hiari

    Timu zetu za mpira zinaongozwa kiujanja ujanja sana sio sawa hata kidogo kidogo Timu zinasign mikataba ya mabilioni ila wanachama hawaambiwi matumizi- NIKIWA RAIS KUPITIA BMT NI LAZIMA KWA TIMU ZA LIG KUU NA LIGI DARAJA LA PILI KUFANYA AUDITING NA KUISOMA KWA WANACHAMA WAO NA KUIBANDIKA KWENYE...
  17. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumtafuta mzazi aliyekutelekeza? Na je ni lazima kumtafuta?

    JE NI SAHIHI KUMTAFUTA MZAZI ALIYEKUTELEKEZA? NA JE NI LAZIMA KUMTAFUTA? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Swali hili nimekuwa nikiulizwa mara Kwa mara, mabinti na vijana wamekuwa katika njiapanda. Kila mmoja huja na stori yake. Mwisho wa Stori huniuliza maswali Makuu matatu; 1. Je ni sahihi...
  18. JamiiForums Tanzania Ifike mahala kumfollow Rais iwe ni lazima

    Leo nimeingia Instagram kuangalia wanaomfollow Rais wa Tanzania nikakuta ni milioni 2.3, wakati wanaomfollow Millard ni zaidi ya milioni 15, na wanaomfollow baba levo ni zaidi ya milioni 4. Hivi watanzania kwanini hamumfollow rais wenu? Hadi itungwe sheria ya kumfollow Rais??
  19. JamiiForums Tanzania Watangazaji wenye uwezo wa kifedha wasome Masters au PG Diploma darasani au Online lakini lazima wawe na Shahada yoyote ya kwanza

    Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma. Lakini nina ushauri kwa watangazaji wengi ambao wana shahada yoyote ya kwanza kwamba wana uwezo wa kusoma shahada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Zamani ukitaka mchumba lazima utongoze lakini siku hizi ukimuita "MY" tu tayari

    Hii nimetoa FB, je Kuna ukweli? My wangu haszu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…