Hili sio ombi ni AMRI.
Kila mtu lazima ashereheke Krismas.
Kuendana kinyume na hapo utajiweka kwenye wakati mgumu. Na usije kulaumu mamlaka takatifu.
Vijana wa Zayuni kwaanzia leo usiku hadi kesho jioni watafanya doria maalum kukagua kila nyumba, kaya, mji na familia. Kubaini kama...