Tafakari haya:
1. Watanzania walio wengi hawakupiga kura
2. Wachache waliojitokeza walifurumshwa na Gen Z.
3. Mawakala hawakuwepo tena.
4. Waliojiandikisha ni 37M na CCM wenyewe hawana wanachama hata milioni 10. Je, kura 32 milioni za Samia zimetoka wapi?
5. Bila intaneti, wamesafirishaje...