Sababu Kwanini ni lazima kutumia Fully Synthetic Oil

Joined
Jan 20, 2026
Posts
84
Reaction score
137
Kuna ambao wanaweza kujiuliza tofauti ni ipi Kati ya Conventional Oil na Fully Synthetic Oil?

Kabla ya kukuelezea sababu kwanini unapaswa kutumia Fully Synthetic Oil kwenye engine ya gari lako , na faida zipi utazoweza kuzipata kwakutumia aina hiyo ya oil. Tungependa kwanza tukufahamishe kuhusiana faida na hasara za Synthetic oil, tutazame definitions zake yaani nini maana haswa ya Conventional oil na fully synthetic oil

Maana ya Conventional Oil (ya kawaida )​

Lubricant hii kwa wengi huitwa ya kienyeji (Yakawaida ) na sababu yake ni kwamba , hizi bwana zinatengenezwa kwa mafuta ghafi yaani crude oil.
Na inakua refined baada yakufanyiwa extracting kutoka katika vyanzo asili nakisha-kwenye mixed chemicals kibao.

Kwahiyo Huwa inakua na uchafu wa asili kama vile silicone, nta, uchafu - uchafu, na mafuta ya taa.
Sasa hhizi ingredients huwa zinaunda deposits indani ya engine ya gari yako..

Definition of Fully Synthetic Oil​

Na kwa Upande wa aina hii ya pili ya oil yaani , synthetic oil , iantokana kwa asilimia kubwa na gesi asilia.
Hii inamaana kwamba haina uchafu wowote hatarishi kwa maisha ya engine ya gari yako kama ambavyo ilivyo oil ya kawaida.
Zaidi, hii ni oil ambayo inazoea kwa haraka bila tatizo kabisa halijoto mbalimbali na hata kwenye mazingira ya baridi huwa haigandamii ama kupungua kwenye mazingira ya joto kali kama ambavyo oil za kawaida huwa.

Nadhani sasa utakua una ufahamu / uelewa fulani mara baada ya kuweza kusoma ufafanuzi huo mdogo lakini wa msingi wa tofauti kati ya aina hizo mbili za oil yaani conventional oil na fully synthetic oil, sasa ni rahisi kwako kuna kwamba synthetic oil ina advantages zaidi kuliko ile ya kienyeji (yakawaida )

Faida Za Fully Synthetic Oil​

Molecular consistency
Ni moja kati ya faida kubwa sana wanayopata watumiaji wa aina hii ya oil. molecules zake ni almost similar lengths, so zinasababisha msuguano mdogo sana kwenye sehemu mbali mbali za engine yako..
Na kwa upande mwingine, convention oil yenyewe imebeba molecules yenye urefu mbali mbali, ambayo hutengeneza zaidi more resistance na mwishowe hupunguza maisha ya engine ya gari yako.

Temperature resistant

Ina perform vizuri sana kwenye hali ya high temperatures. Uwezo wake mzuri wa kuhamisha joto ni bora zaidi ya hizi oils za kawaida. Kwahiyo zinaweza kusaidia ku poza engine ya gari yako.
Zile hydrocarbons zake nyepesi katika molecules ya conventional oils huchoma pindi ambapo zinapata moto. So, kadri zinavyokaa kwenye engine , basi ndiyo inavyozidi kuwa thicker.

Imara Zaidi

Synthetic oil ya magari ina nguvu zaidi ya conventional lubricant. It’s more resistant to breakdown, hii ikiwa na maana kwamba the drain interval ni mara 3 hadi nne zaidi ya normal oil. Wewe ijaze vizuri tu , na unaweza ku- drive 10,000 hadi 12,000 kilometers. ndio uje ubadili tena

Hasara za Fully Synthetic Oil sasa 😀​

Expensive

Ndiyo main disadvantage ya aina hii ya oils.
Yaani Bila Kupepesa maneno ni ghali kweli kweli ukiliganisha na oil hizi zingine za kawaida
Hata hivyo, japo ni ghali lakini they take better care of the engine, zikiongeza lifespan yake, naku- improve fuel economy.
Kwahiyo, you’ll eventually find them cost-efficient.!!!!

Hatari kwa Magari ya zamani sana ​

Magari ya Kizamani sana hapa tunamaanisha kwamba ni yale magari ambayo yaliundwa kabla ya 1990.
As synthetic oil cleans out sludge, yaweza kuyeyusha deposits ambazo zina act kama sealing ya hizo old automobiles. As a result, hii oil lazima itavuja tu, Hivyo kupelekea engine kuharibika.
fully synthetic oil inafaida sana hata utakapo compare faida na hasara zake. Ila tu kwenye bei, kimsingi haina negative point. And, the cost will seem reasonable kama - consider the long-term benefits.

Kwa ushauri na elimu zaidi, unaweza kutuandikia ujumbe wa whatsapp kwenye number yetu hapa chini au kutemebelea ofisi zetu

KARIBU OFISINI KWETU
TUPO ARUSHA KALOLENI
KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL
LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH

OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR

☎️ : +255797113153
 
Attachments

  • Capture_55867324-2c2a-432a-b578-5f6922d77a1f.webp
    Capture_55867324-2c2a-432a-b578-5f6922d77a1f.webp
    46.2 KB · Views: 25

Darasa huru
 
Na lab oil ni zipi? Yaani oil za maabara
 
Hivi bongo conventional oil zipo kwa hizi major brands? Sio kwamba zite zimeandikwa synthetic?
 
Back
Top Bottom