laptop

  1. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop kali sana core i5 Dell inauzwa

    p
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Wezi wavunja na kuiba laptop na sukari kilo 25 Ofisi za Mahakama ya Wilaya Njombe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za wizi baada ya kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na kuiba vitu mbalimbali vya ofisi hiyo ikiwemo Laptop tatu (3) na Sukari kiasi cha Kg 25, waliokamatwa yupo aliyeiba na mwingine aliyeenda kuuziwa Laptop hizo. Taarifa...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Laptop Zimewasili Na Ofa Ya Software Ya Research

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo: 1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 2 gb,zinakaa...
  4. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Karibu laptop

    Bei mwisho laki 650,000/= Nipo kahama mjini Call na sms only 0620307124 Kama huiwezi hiyo bei sitaki usumbufu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale gaming laptop dell e6430 core i7 ram gb 8,, dedicated graphic inauzwa

    bei 350k imepungua to 300k location mwenge mpakani 0787202143 used Dell latitude e6430 nzuri for gaming and graphic processor :intel Core i7-3520qm clock speed 2.6 GHz and 3.6 GHz with turbo boost ram 8 gb hard disk 500gb 2 graphic card 1.intel hd 4000; 2.NVIDIA nvs5200m (1gb dedicated)...
  6. dymaka

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Motherboard ya laptop aina ya Acer Aspire V5 - 123. Iwe inafit kwenye specification zifuatazo CPU. AMD dual - core

    Nahitaji Motherboard ya laptop aina ya Acer Aspire V5 - 123. Iwe inafit kwenye specification zifuatazo CPU. AMD dual - core processor E1 - 2100 (1.0GHz) MEMORY. 2GB DDR 3 Memory, NB: V5 - 123 -1210G50nkk. Kwa mawasiliano Voda 0769269374 Tigo 0655269374 kwa what's app & call
  7. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop zimewasili toka U.S.A

    COMPUTER ZIMEWASILI TOKA U.S.A Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tukitoa ushauri wa computer, mafunzo ya kutumia computer,matengenezo ,kuwaletea sample za computer bora. Wiki hii tuna computer zifuatazo. Piga 0713-039875 kuwahi bei hizi za ofa kabla ya wikiend kuanza.Au fika Ofisini...
  8. tamsana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu aina ya Toshiba Tecra ina tatizo la kuwaka (blinking) taa ya charge

    Habari ya majukumu wadau. Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout. Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini bado ile taa inablink. Pia nikirudisha battery ile taa inaendelea kublink throughout hadi niiondoe...
  9. Ally_34

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Laptop Dell inauzwa

    Bei Tsh 530,000 Inapatikana Morogoro Ina 500 gb Mawasiliano piga 0746897449
  10. ze future

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu inakataa kuconnect na internet

    Habari yako, PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows 8. Nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa jinsi ya kulitatua tatizo hili.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP Laptop inauzwa laki moja na nusu

    HP Laptop min 1104 inauzwa dual core hardisk 160 inch 10 RAM 2GB ipo na charger yake ni laki 150 tu mtu anashida tatizo la pc ni keyboard tu na keyboard ni elfu 30 wanauza karibuni sana nipo Dar Mbezi ya Kimara 0656804462
  12. IT MAN

    JamiiForums Tanzania Nanunua Laptop Mbovu

    Kama una Laptop mbovu lete nikupe pesa.Bei inategemea na ubovu, Specs na Muonekano. Machinga Complex Karume DSM, 2nd floor D3(4-6) 0736883363
  13. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi wa Laptop

    Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio flani hivi mpaka ubonyeze bila kuachia ndo herufi ina respond. Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba usaidizi wa Matumizi ya WhatsApp kwenye Laptops

    Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku, Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje? Asanteni. 🙏
  15. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza laptop HP

    Wadau habari za Asubuhi, kama nilivyoeleza hapo juu nauza laptop yangu kwa tsh 400,000 ni mpya kabisa aliyotayari anichecki kwa namba ni 0673167251 specifications zake nimeattached. Karibuni.
  16. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Zijue na jipatie computer za bei nafuu zinazokidhi mahitaji yako

    Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tunawashauri watanzania juu ya elimu ya vitu vya ki-electronics hususani computer ikiwemo mambo ya kuzingatia kabla ya kununua, vitu vya kufanya na vitu vya kuepuka ili kifaa chako kidumu kwa muda mrefu n.k. Na leo tunakuletea elimu ya computer zainazotosha...
  17. L

    JamiiForums Tanzania HP Laptop 1Tb inauzwa 350000/=

    Habari wadau, nauza laptop Aina ya HP Specifications Hard disc 1TB Ram 8gb Processor 2.0ghz Core i 3 DVD /CD rwr BEI Tsh 350000/= Mawasiliano 0783696253 Haina tatizo lolote
  18. J

    JamiiForums Tanzania Laptop za laki 2 na nusu zimewasili

    Wale woote wanaohitaji laptop za kuanzia laki mbili na nusu, zimekuja zipo pc 3 Sifa zake ni: hdd 80,ram 2gb,3 hours battery, warranty one year, bei tzs 250,000 Tupo Kariakoo , pia tuna tawi mbezi mwisho stand. Pia unaletewa ulipo Dar es salaam na mikoani tunatuma. Piga :0713 03 98 75 kuwahi...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Msaada hp laptop inasumbua their three issues to be solved

    Jamani naomba mnisaidie matatizo haya kwe HP laptop 1. cursor inaganda na kutembea hovyo kwenye monitor kila nikichomeka adapter kuchaji hivyo inanilazimu kuchaji ndio nitumie tatizo limeanza baada kuharibika adapter ya mwazo hii mpya inasumbua 2. Microsoft office app zangu ikifungua...
  20. Alex Gk

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop Screen Record

    Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #Covid19 MADA Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording katika PC yangu. Nimejaribu kutumia software ya CAMTASIA 2018; shida ni kwamba PC inakuwa nzito ku...
Back
Top Bottom