Jipatie SSD kwa ajili ya laptop na desktop yao kwa bei nafuu

hemedans

Member
May 18, 2011
68
64
nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia zaidi hapa
Amazon product ASIN B01N5IB20Q
kwa wasiofahamu SSD ni replacement ya Hard disk, zinaongeza speed ya computer mara 10 ama zaidi, ukiwasha computer inawaka ndani ya sekunde 10 na kufungua programs hakuchukui muda, hata kama una laptop ya kizamani ya core 2 duo, ssd inaweza kuifanya iwe faster zaidi.

WhatsApp Image 2020-10-30 at 2.36.09 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-30 at 2.36.08 PM(1).jpeg
WhatsApp Image 2020-10-30 at 2.36.08 PM.jpeg

bei ni 120,000 na unaweza wasiliana na mimi kupitia 0756 853285

pia kama haupo mbali na dar es salaam mjini naweza kukufanyia free installation kwa kui clone hdd yako na kuihamishia kwenye ssd.
 
Yaaap. Hizi ndio SSD nilikuaga nampa darasa jamaa mmoja anaitwa Olympus.

Yeye alikuaga ameng'ang'ana kuuza ma-HDD wakat yamekwishapitwa wakati. Technology inakimbia kasi sana.

Mie nikawa namwambia achan na HDD anza kuuza SSD, akawa anajifanya kichwa kenge! Na wadau wengine wakaona namtilia kauzibe.

Mzee safi sana. Hizi SSD hata mie nitakuunga mbili. Ngoja nikirudi Bongo next weekend.
 
Mkuu naomba niulize, hvi storage capacity ya SSD na HDD zina tofauti? Mfano 2TB ya HDD kwenye SSD inakuwaje?
 
Storage capacity ni hio hio, 2tb ya ssd na 2tb ya hdd inaingia mafile sawa.

Utofauti ni speed, mfano ssd ina Hamisha mafile 500MB kwa sekunde na HDD 50MB kwa sekunde ina maana ssd ita Hamisha mafile kwa haraka zaidi. Unapowasha computer, windows mafile mengi inabidi ya load, kwa ssd computer inawaka sekunde 6 mpaka 10 hivi wakati hdd ina chukua zaidi ya dakika.
 
Noted chief.. thanks
 
Mkuu mathalani Mm Nina PC nimeinunua ikiwa na uwezo wa SSD 64gb, je, naweza kununua yenye SSD 128 na Mashine na nikaifunga ikafanyakazi?
Ndio inawezekana, ila ufahamu kwanza aina ya hio ssd, mimi ninauza sata na M.2, zipo aina nyengine pia. Ukishafahamu aina itakuwa rahisi kutafuta hio hio.

Pia zipo storage za simu zinaitwa emmc ama ufs, kuna laptop zinatumia hizi storage, hutaweza kubadili.
 
Ahsante sana kwa Majibu mujarabu!!!
 
Ndio inawezekana, ila ufahamu kwanza aina ya hio ssd, mimi ninauza sata na M.2, zipo aina nyengine pia. Ukishafahamu aina itakuwa rahisi kutafuta hio hio.

Pia zipo storage za simu zinaitwa emmc ama ufs, kuna laptop zinatumia hizi storage, hutaweza kubadili.
Je naweza kuhama tika hhd kija ssd... na mashine haitasumbua kwa kweli???
 
Back
Top Bottom