laptop

  1. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop zinauzwa kwa bei nafuu sana

    Tuna ofa ya laptop mpya kwa Africa, used in u.S.A, bei zipo ofa toka laki 4 kwa wikiendi hii tunauza laki 3 tu. Sifa zake: hard disc 320GB, RAM 4GB, ina camera, 3 hours battery na inasupport wifi ya simu kwa internet na warranty one year. Tupo kariakoo jirani na china plaza. Unaletewa ulipo. Pia...
  2. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Je naweza kutumia charger (adapter) USB Type-C ya laptop kuchajia simu?

    Nina laptop unayotumia adapter ya USB type C na simu ya charger ya USB type C. Sasa naomba kuuliza je naweza kutumia hii adapter laptop kuchhaji simu? Kuna siku nilijaribu ila ofisini pale mtu mmoja akanitisha kua nitaua simu au itaungua ingawa alienipa tahadhari sio mtaalamu wa mambo ya umeme...
  3. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Natafuta Laptop Charger (Samsung NP300e5z)

    Habari wanajamvi, Natafuta laptop charger tajwa hapo juu. Zingatia zifuatazo: 1. Laptop Charger iwe mpya 2. Nitajie bei inbox (PM) 3. Risiti iwe ya EFD kwa kuwa nanunua kwa ajili ya taasisi The sooner the better. Jioni njema
  4. Android

    JamiiForums Tanzania Ajira ya online: Unaweza kuandika Kiingereza, unayo laptop au computer na unayo access ya internet?

    Utangulizi Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu yetu kwa ajili ya kutusaidia shughuli za kila siku. Ajira Wanahitajika watu wanne kwa ajili ya...
  5. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania F2 haifanyi kazi katika dell laptop japo button haina shida yoyote

    Nataka niingie katika boot setup ya laptop yangu..lakini kila niikiwasha na ku press F2 au del ili niingie setup option hairespond chochote.nimejaribu kutumia keyboard ya nje napo holaa..nifanyaje wakuu ili niingie kwenye bios setup? Lengo langu ni kuselect boot option iwe kwenye usb drive...
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tunawakodishia Laptop kwa miradi ya muda mfupi

    Habari wakuu Baada ya maombi ya muda mrefu, Drone Computers tumeamua kuanza kukodisha laptop kwa watu wanaofanya miradi ya muda mfupi kuanzia miezi 3 na kuendelea. Aidha kila laptop italipiwa pesa ya tahadhari kufidia uharibifu endapo utajitokeza au upotevu wa laptop. Kiasi hiki kitarudishwa...
  7. crusader_jr

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa(HP)

    Wakuu baada ya mods kuficha uzi wangu kisa hauna picha nimerudi tena maana mda ule tatizo ni kua freebasics iligoma kuapload picha Sifa za laptop ni zofuatazo Model:HP G2 X360 128ssd storage Processor: intel celeron n series 1.6ghz 4gb ram OS:Windows 10 pro 64 bit Battery 5hrs of excesive usage...
  8. Mkwala

    JamiiForums Tanzania Msaada Laptop yangu haisomi Printer nikifungua PDF na Excel file kutoa nakala ngumu

    Wasalaam, Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo. Nimejaribu kuprint kwa Word document yenyewe haina tatizo. Je, kuna shida ipi inayopelekea PDF na Excel file...
  9. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Used Acer Laptop for sale

    Used Acer laptop for sale 250,000/= 2 Laptop speakers Intel(R) Core(TM) i5 CPU M 480 @2.67GHz RAM : 6.00 GB System Type ; 64 - Bit Operating system, x64-based processor WINDOWS SPECIFICATIONS Edition : Windows 10 Home Version : 1803 Installed on : 20/07/2018 OS bild : 17134.1006 FAULTS Laptop...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Laptop ya kwanza duniani

    Hii ndio husemwa kuwa Dadavuzi mpakato ya kwanza duniani, Grid Compass (clamshell laptop) ambayo iliundwa mwaka 1979 na William Moggridge, kwa ajili ya Grid System Corporation ya Marekani. Ilianza kutumika mwaka 1982 ilikuwa na RAM ya 512K
  11. engineer_mxi

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop aina ya HP 6735 sh 210,000

    processor AMD turion(tm)X2 Dual core mobile RM-70 2.00GHz RAM 1 GB HARD DISK DRIVE 250GB INAPATIKANA MBEZI LUIS, DAR ES SALAAM BEI 210,000 TSH
  12. Website design

    JamiiForums Tanzania Nauza Vioo vya laptop (2) vizima kabisaa pamoja na keyboard ya dell inspiron 15

    Je una laptop iliyovunjika kioo Nina laptop mbili za Dell inspiron 15 Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee. Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6) bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia pia nina keyboard nzimaaa Keyboard nauza 40,000...
  13. Kiburi si uungwana

    JamiiForums Tanzania Una uhitaji wa laptop mpya na bajeti yako ni ndogo? Basi hapa ndio mahali pake

    DELL LATITUDE 3340 RAM 4GB HDD 500GB PENTUM TSH 420000 MAIL rafaijumba@gmail.com call; 0676949728
  14. titho joel

    JamiiForums Tanzania nauza laptop mpya aina ya dell latitude

    Nauza laptop aina ya dell Inter core i3 RAM GB 4 Internal storage GB 300 Generation ya 3 Charge masaa 4 Bei 350,000 Karibu kwa mawasiliano piga 0715796040 au follow WhatsApp
  15. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Laptop HP PRO BOOK

    Nauza Laptop HP PRO BOOK imetumika miezi miwili (2) tu. SPECIFICATIONS INTEL CORE i5 RAM 8 GB 64 BIT WINDOW 10 PRO STORAGE 1 TB Bei: 600,000 Contacts: 0713418321
  16. M

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri kabisa HP inauzwa 800,000/tu!

    2:International storage : 1tb( 1,000) 3: Model : Hp 4:Color : Gray 5: Mideum width. 6: With webcam 7: Inakaa na charge zaidi ya 2hrs. 8:Angalia picha iliyoambatanishwa. Inapatikana Arusha -Tengeru (kama upo nje ya Arusha, tutafanya utaratibu wa kukutumia) Mawasiliano....0784355775
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa laptop

    Laptop yangu aina ya Dell Inspiration touch screen, intel core i7, 15.6', 8GB RAM imepasuka kioo. Ilianguka kisha nikawapa watu wa it office wakawapatia vijana wa field wameiharibu sasa nataka expert aniwekee screen mpya. Kama yumo humu aniambie bei ya hiyo touch screen ni kiasi gani au kama...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop DELL Inspiron 15 3567 core i3 inauzwa

    Dell Inspiron 15 3567 *Processor => core i3 6th generation, 2GHz (4 CPUs) *RAM => 8GB (Latest DDR4 chip) *Hard drive => 2 hard drives, 128gb SSD and 1TB HDD *Graphics => Intel HD Graphics 520, 4GB *Screen => 15.6" inches, 1366x768 max resolution *Operating system => Windows 10 Pro (64 bit)...
  19. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar?

    Naomba tafadhali kama kuna mtu humu jukwaani anayejua sehemu ambayo wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar, anijuze. Mubarikiwe na Bwana
  20. Loraa sum's

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop hp for sale

    hp laptop for sale Bei 180,000 Contact: 0712518770 dsm Haina shida yoyote isipokuwa betri haikai na charge
Back
Top Bottom