Je, kuna umuhimu wowote wa kuwa na Laptop kwa kozi ya Medical Doctor (MD) mwaka wa kwanza?

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,929
Habarini ndugu,

Kwa anayejua mtu anayeanza chuo mwaka wa kwanza kwa ngazi ya degree ya medical doctor kuna umuhimu wowote wa kuwa na laptop? Kama jibu ni ndio je kitu gani kingine anachotakiwa kuwa nacho kama sehemu ya kumsaidia kwenye masomo yake?

Msaada kwa hili.
 
Ndio ina umuhimu sana. Course yeyote now days inahitaji laptop, maana inapunguza gharama za kuprint slides ama notes zilizo katika soft copy.

Pia chuo wanafundisha juu juu sana.. laptop itakusaidia kusoma deep mtandaoni topic ulizofundishwa na kutazama lectures Youtube.
 
Ndio ina umuhimu sana.. course yeyote now days inahitaji laptop.. maana inapunguza gharama za kuprint slides ama notes zilizo katika soft copy..

Pia chuo wanafundisha juu juu sana.. laptop itakusaidia kusoma deep mtandaoni topic ulizofundishwa na kutazama lectures youtube
je kwenye course ya MD kitu gani kingine ambacho kitakuwa kinahitajika kwenye kulahisisa masomo ukiachana na laptop, je calculator, external na kadharika nataka kujua msaada tafadhali
 
Computer ni essential tool kuanzia pre primary, no question!! Sema uchumi kama hauko vzr, smart phone serves the purpose (japo haiondoi ukweli kwamba computer ni essential).

Ukija kwa laptop, due to its portability, ni essential zaidi kwa mwanachuo yeyote.

Sema Daktari mtarajiwa usirudie kutuuliza maswali ya kitoto.
 
asante mkuu, hapana nataka kumnunulia mdogo wangu ndio maana nataka kujua
 
Habarini ndugu,

Kwa anayejua mtu anayeanza chuo mwaka wa kwanza kwa ngazi ya degree ya medical doctor kuna umuhimu wowote wa kuwa na laptop? Kama jibu ni ndio je kitu gani kingine anachotakiwa kuwa nacho kama sehemu ya kumsaidia kwenye masomo yake?

Msaada kwa hili.
Laptop ndio Daftari.

Kuweka materials hususani soft copy plus video tutorials.

Huwezi kuprint kila module.
 
Laptop ndio Daftari.

Kuweka materials hususani soft copy plus video tutorials.

Huwezi kuprint kila module.
asante mkuu, but nataka kujua vitu gani vingine vitaitajika kwenye mambo ya MD kwa mwanafunzi ukiachana na laptop?
 
asante mkuu, but nataka kujua vitu gani vingine vitaitajika kwenye mambo ya MD kwa mwanafunzi ukiachana na laptop?
Vitu vingine muhimu ni kama Stethoscope na Clinical coat.

Ukiwa na hivyo inatosha kuanza comfortably.
 
Vitu vingine muhimu ni kama Stethoscope na Clinical coat.

Ukiwa na hivyo inatosha kuanza comfortably.
asante sana mkuu, ubarikiwe sana, Stethoscope na Clinical coat. nazipata wapi na kwa sh ngapi mkuu?? msaada wako tafadhali.
 
asante sana mkuu, ubarikiwe sana, Stethoscope na Clinical coat. nazipata wapi na kwa sh ngapi mkuu?? msaada wako tafadhali.
Clinical coat zinauzwa maeneo ya vyuoni ( sijui anaenda chuo gani ) au anaweza kushona mwenyewe kwa fundi.

Ili mradi kodi liwe lefu na Jeupi kwaajili ya kuendea wodini.

Stethoscope zinauzwa kuanzia Tsh 50,000.

( Ni vile vifaa madaktari huwa wanatundika begani kwaajili kupimia mapigo ya moyo, vinapatikana pia maeneo ya vyuo vya Afya pamoja na pharmacy kubwa kubwa )
 
Back
Top Bottom