Msaada: PC (Laptop) yangu ina display black(giza) ilhali inaoperate

law healer

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
502
1,000
Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.

Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell.
Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza kuonesha giza tu au sometimes inadisplay kwa umbali sana, ila vitu vingine vinaonesha vinaoperate kama kawaida.

Tusaidiane buana.
(Sharing is caring).
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,055
2,000
Jaribu kutumia monitor ya nje,

Kama itakubali Tatizo ni display ya laptop
Ikikataa ina maana tatizo ni jengine linalohusiana na graphics.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom