Chaji yangu ya laptop dell inatoa kelele but haipeleki chaji nifanyaje

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,282
2,000
Habarin wana jamii forum nina laptop yngu apa chaji yake sijui imepatwa na nn kile kitaa cha kijan hakiwak pia inatoa bipping sound hata nikiichomeka kwa laptop moto hauend nifanyaje wadau maana laptop yngu battery mbovu bila umeme haiwak na nina kaz kibao za kiofisi
 

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,282
2,000
Moderators mnakosea sn kubadili baadh ya maneno mimi nimrandika beeping sound yenuewe yamefuta yameandika kelele hv mnajua kuwa noise (kelele) ni tofauti na sound noise means unwanyed signal yaan ni signal ambazo zipo nje ya mfumo saaa hii ninayosikia ni sound from internal syatem ya charge wenyenye wanabadili wanaandika kelele ndio nn saiz

Poor mind
 

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,037
2,000
Habarin wana jamii forum nina laptop yngu apa chaji yake sijui imepatwa na nn kile kitaa cha kijan hakiwak pia inatoa bipping sound hata nikiichomeka kwa laptop moto hauend nifanyaje wadau maana laptop yngu battery mbovu bila umeme haiwak na nina kaz kibao za kiofisi
ndugu chaja sio ya kutengeneza hapo ni imeharibika inabidi ununue nyingine, weka picha yake hapa watu wakupe bei au nenda dukani moja kwa moja.
 

msawe

Member
Mar 1, 2019
37
125
Inatoa sauti ukiunga na pc au ikiwa pekeake..? Jaribu charge nyingine lakn kama inasikika sauti ya spark ni loose na kama ikiwa pekeake inakuwa saf ila ukiunga na pc ndo inazima pia huenda pc inarudisha moto nyuma ...kikubwa pata charge nyengine na ujaribu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom