lami

  1. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi barabara ya Mwinjuma Mwananyamala mbona umeruhusu magari kupita na haujaweka lami?!

    Kutokea mwananyamala A hadi kona ya studio mkandarasi ametoa lami ya zamani kisha amefungulia barabara maisha yanaendelea. Ndio nauliza kwanini uliondoa ile lami ya zamani? Yaani umechimbachimba hadi vibarazani mwa nyumba za wenyeji halafu umejiondokea!!! Kwa mfano pale Komakoma kwa Makongoro...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nimelala katikati ya lami nisikanyagwe na semi. Ningekuwa chapati

    Nimetoka kuangalia mechi ya mtibwa na kmc nikawa navuka barabara hamaaadi semitrailer hii hapa Mimi nikiwa katikati ya lami . Walioniona wakapiga kelele na kufumba macho wakijua nimeshakanyagwa kumbe siku zangu bado nikajitupa haraka chini ya semi likapita juu yangu kuanzia kichwa mpaka kontena...
  4. aka2030

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa 'Service Road' wakati barabara zingine hazina lami

    Kuna umuhimu gani wa kujenga serivice road kwa kiwango cha lami huki barabara nyingi jijini bado hazina lami. Mfano hii Sam Nujoma Road na Bagamoyo road hizi service road walizojenga si zingewezq kusaidia sehemu zingne zenye uhitaji wa barabara.
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

    Nawakumbusha tu TARURA wakati serikali mpya ikiingia madarakani ni muhimu sasa barabara za mitaani katika jiji la kibiashara la Dar es salaam zikajengwa kwa kiwango cha lami. kusema kweli ni aibu kwamba barabara nyingi za mitaani hata katika maeneo yaliyopangiliwa kama vile Mbezi Beach...
  6. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ilidanganya kuhusu idadi ya barabara zenye lami

    Kenya had 11,230 kilometres of bitumen roads in 2013, according to data in the 2014 Statistical Abstract published by the Kenya National Bureau of Statistics. This closely matches the 11,000 figure used in the 2013 Jubilee manifesto. However, significant variations in official data mean that...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Barabara ya lami iliyokuwa imefungwa Kigamboni leo imefunguliwa, tunashukuru Serikali kwa kusikia kilio cha wananchi

    Baada ya malalamiko na masikitiko ya wananchi kuhusu kipande cha barabara eneo la Mnadani - Kigamboni kilichokuwa kimefungwa kusubiri uzinduzi ilhali ujenzi wake kukamilika! Hatimaye rasmi leo barabara hiyo imefunguliwa Tunashukuru sana serikali ya awamu ya tano kwa kusikia kilio cha...
  8. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Wananchi tufagie barabara za lami mitaani

    Wananchi tufagie barabara za lami mitaani Mikoa mingi barabara za mitaani zimewekewa lami, na hata taa za barabarani. Ili barabara hizo zidumu, wananchi tujiwekee utaratibu wa kuzisafisha kwa kufagia na kuzoa michanga, na kwa kutotupa takataka na michanga kwenye mitaro. Michanga na maji ndiye...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Barabara ya lami iliyokuwa inajengwa Kigamboni mnadani imekamilika lakini bado imefungwa kusubiri uzinduzi; Wakati wananchi wakiendelea kutaabika

    Eneo la kipande Cha barabara lililopo Kigamboni baada ya kuvuka daraja la mwl Nyerere linaonekana kukamilika lakini bado barabara hiyo imefungwa kusubiri uzinduzi wa kisiasa ilihali wanainchi wanaendelea kupata tabu! Barabara hiyo ndiyo inayounganisha viunga vya kigamboni na maeneo Mhimu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi anayejenga lami Kigamboni baada ya daraja (Mnadani) hazingatii kanuni za ujenzi; ni kero kubwa kwa wapita njia

    Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi! Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

    Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu. Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote. === Aliingia...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Usafi ulioletwa na Covid-19 huku kwetu Kwamtogole ni wa kiwango cha lami

    Kuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags. Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti...
  13. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Finally kule kijijini kwetu Upareni lami imepita, ilikuwa kama ndoto vile

    Ni furaha iliyoje kwamba kule milimani upareni nako kuna lami, thanks God.
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kipande cha barabara cha mita 200 Tabata Kimanga chatumia miaka 10 kuwekwa lami

    Tangu mwaka 2009 mkandarasi yupo site na anafanya kazi usiku na mchana, anafunga barabara na kupitisha magari kwenye diversion. Kila siku vijiko na magreda naviona vinafanya kazi pale, vifusi na kokoto vinamwagwa kila kukicha, ila kipande hicho cha mita 200 huko Tabata Kimanga hakijafanikiwa...
  15. babalao 2

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  16. kanyagio

    JamiiForums Tanzania Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

    Wapendwa, Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa. Bajeti iliyopo ni 20m.
Back
Top Bottom