Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
Wapendwa,
Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa.
Bajeti iliyopo ni 20m.
 
Ni vyema ungeweka priorities zako za areas, itasaidia kupata kwa wakati na eneo ulilokusudia.
Kumbuka barabara za lami dar siku hizi mpaka vichochoroni zipo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vyema ungeweka priorities zako za areas, itasaidia kupata kwa wakati na eneo ulilokusudia.
Kumbuka barabara za lami dar siku hizi mpaka vichochoroni zipo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sina priority saaana hata kama ni vichocholoni sawa. Wilaya ya kinondoni na ubungo ni first priority ila hata wilaya nyingine ni poooa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom