lami

  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

    Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wana Rorya tumkatae Chege kama barabara ya Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami haitakamilika

    Moja ya ahadi ya Mhe. Chege tulipomchagua alituahidi kuwa katika miaka yake mitano atahakikisha barabara hii inakamilika kwa asilimia mia moja. Ujenzi wa barabara ulianza mwaka 2005 na mpaka sasa umejengwa kwa kilomita 14 tu. Maeneo mengine ya nchi hii kila kukicha barabara za lami...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Rais Samia Anapiga Lami Barabara ya Kibena - Lupembe Mkoa wa Njombe

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena - Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na kilimo cha chai kinacholimwa katika kata ya Lupembe Halmashauri ya Njombe. Ameyasema hayo mkoani Njombe...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Barabara ya Ramadhani - Iyayi KM 74 (Wanging'ombe) Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

    WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Ramadhani – Iyayi yenye urefu wa kilometa 74 ambayo imekuwa ni kilio kikubwa cha...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nimepata kusomea Ratiba ya Makonda mikoa 20, anapita barabara zenye lami tu? Kwenye barabara za maeneo yenye vumbi hakuna wanaccm?

    Huyu bwana ni msaani! Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja! Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU. Cha kujiuliza huko kusiko na lami...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusiwe tunajenga barabara za zege tu badala ya za lami?

    Inadaiwa kuwa barabara za zege ni imara na zinadumu kwa muda mrefu kuliko za lami. Japo wanasema ni gharama kujenga lakini nchi kama yetu inaweza kuzijenga kwa kutumia malighafi zote kutoka ndani ukilinganisha na zile za lami. Kwa hiyo inawezekana kwetu zikawa na bei rahisi kuliko za lami...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara ya Mihama (Kata ya Kitangiri, Wilaya ya Ilemela) lini itawekwa Lami?

    Hii Barabara ina Kibao cha ujenzi wa Lami tangu enzi za JPM. Lakini mpaka sasa haieleweki lini litafanyika zoezi hilo. Barabara inaendelea kuharibika kila kukicha kutokana na mvua za kila siku. Barabara hii ndio inatumika na wafanya biashara wa Dagaa mjini Mwanza wanapoenda kurangua Dagaa kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kipande cha barabara Rombo - Tarakea mkoani Kilimanjaro mkandarasi amevunja kipande cha lami chenye mita 500 amemwaga vifusi bila kusawazisha

    Ametoa daivesion bila kueka kibao kua kuna daivesion wageni wakija wanapitiliza na kudondokea kwenye vifusi pia divesion imechimbika mashimo na mkandarasi ashahamisha mitambo yake
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Barabara ya kilomita 13 Matundasi - Chunya -Itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami?

    Kuna mahali nimesoma kwenye bajeti ya maendeleo ya serikali kuu 2023/24 inaonesha barabara ya matundasi kwenda itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami. Mwenye uelewa wa jambo hili ninaomva atujuze. Je, mkandarasi alishapatikana? Je, ujenzi unaanza lini?
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kibada mpaka Kimbiji kupigwa lami

    Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa KM 41 Wilayani Kigamboni, Dar es salaam. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hayo leo akiwa Kigamboni ambapo amesema hatua hiyo ni...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kujenga Barabara Kuu Musoma Vijijini kwa Kiwango cha Lami

    SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA BARABARA KUU LA MUSOMA VIJIJINI KWA KIWANGO CHA LAMI: WAZIRI BASHUNGWA ASISITIZIA UAMUZI HUO WA SERIKALI Jana, Jumanne, tarehe 10.10.2023, Waziri ya Ujenzi, Mhe Waziri Innocent Bashungwa alifanya ziara ya kikazi Musoma Vijijini kwa lengo la kuwatoa wasiwasi wananchi...
  12. muuza ubuyu

    JamiiForums Tanzania Hali ya barabara ya Dumila - Handeni - Korogwe, Je ni barabara ya lami au vumbi?

    Habari wakuu, Mwezi wa kumi na moja nina safari ya kwenda Lushoto kwa kutumia usafiri binafsi. Kiufupi mimi ni mgeni katika mkoa wa Tanga na sijui hali ya barabara mkoani humo. Ninaishi kwenye moja ya mikoa ya kanda ya magharibi mwa Tanzania. Barabara ninayotaka kutumia ni ile ya kutoka...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

    Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa. Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana. Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi aliejenga lami ya Ubungo ya Mbweni kazingua ubora

    Yaani kuna kipande cha kuanzia Ununio hadi Ubungo kajenga vizuri, baada ya hapo kamwaga lami chini ya kiwango kabisa, mpaka unajiuliza Injinia wa Halmashauri ya Kinondoni kakagua na kupitisha lami hii lowest grade hivi!? Why quality itofautiane hivyo!?
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Bilioni 5.2 Ujenzi Barabara za Lami Jimbo la Hai

    Ilani ya CCM ya Mwaka 2020-2025 Ukurusa wa 82 Ibara ya 57 inaeleza kuwa Kwa kutambua umuhimu wa kuendelea kuboresha miundombinu ya usafirishaji na uchukuzi katika kuwezesha shughuli za kiuchumi na kijamii Mijini na Vijijini, Chama Cha Mapinduzi katika kipindi cha miaka mitano ijayo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba tuwekewe Lami kuanzia pacha ya Mbae hadi Mjimwema (Mtwara)

    Wakazi wa pacha ya MBAE, MBAE NA MJIMWEMA tunateseka na vumbi kwa sababu ya barabara ni mbovu mno halafu hiyo barabara ni muhimu sana Kwa wanafunzi wa chuo cha TIA wanaokaribia kurudi mwezi wa kumi na licha ya hivyo chuo kimehamia Mjimwema huko lakini serikali ya mkoa wa Mtwara haina mpango wa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Rungwe, Jaffar Haniu azindua ujenzi wa Barabara ya Ndulilo - Itete yenye urefu wa Kilometa 11.38

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua ujenzi wa barabara ya Ndulilo mpaka Itete kwa Kiwango cha Lami inayounganisha Kata ya LUFINGO na KYIMO yenye umbali wa KM 11.38 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8.9, leo tarehe 24.8.2023. Akimtambulisha Mkandarasi anayetekeleza Ujenzi wa...
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Dodoma kama jiji, barabara zake wekeni lami

    kwetu sisi ambao tuna makazi Dodoma, wakati fulani tunaenda kuishi Dodoma na wakati fulani tunarudi jijini, kuna kitu kinakera sana Dodoma, nacho ni barabara za mitaani, hata kipindi cha mvua mbacho wamesema hakiko mbali.(walituambia kuna uwezekano el ninyo ikaja october). Serikali, Dodoma...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwenu TanRoads Mkoa wa Singida : Nitawashangaa sana Kama Mtashindwa Kujenga kwa kiwango cha Lami barabara ya Manyoni - Itigi - Rungwa

    Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi. Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi. Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu. Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
  20. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

    Kuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami...ukienda Yombo kuna lami mitaani tu huko Buza Hadi vibarazani kuna lami... Ukifika Mbezi Beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda...
Back
Top Bottom