Kwenu TanRoads Mkoa wa Singida : Nitawashangaa sana Kama Mtashindwa Kujenga kwa kiwango cha Lami barabara ya Manyoni - Itigi - Rungwa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,460
Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi.
Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi.

Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu.

Nitawashangaa Tanroads mkoss as waSingida kwa kushindwa kutekeleza mradi huu muhimu.
 
Kwani Singida wanacjangia nini kodi TRA ukilinganisha na mikoa mingine hadi wapewe upendeleo? Weka data hapa kwa makusanyo TRA 2022 kila mkoa ndo tuanzie hapo
 
Hiyo barabara haianzii Manyoni,inaanzia Mkiwa kwa kupitia Gurungu,Sanjaranda hadi hapo Itigi.
Hiyo ya lami iliyopita hapo Itigi ni mradi mwingine tofauti iliyoanzia Manyoni hadi Tabora,na iliishia pale Mpakani kabla hujafika Tura,kule upande wa Tabora nadhani iliishia Chaya,ila kwasasa nadhani imeshaunganishwa kwa kiwango cha lami tayari.
Kuna ujenzi wa barabara kutoka hapo round about ya Itigi hadi Stesheni na kuvuka shule ya sekondari ya Handu,nafikiri inaishia kabla ya Mlongoji pale njia panda zinapoungana na ile ya kwenda Tabora karibu na mizani mpya.
Ujenzi wa kutoka Itigi hadi Rungwa ni project kubwa sana inayosimamiwa na TANROAD na siyo ngazi ya mkoa,wenyewe wanazijua barabara zao zote nchini.
 
Ujenzi wa kutoka Itigi hadi Rungwa ni project kubwa sana inayosimamiwa na TANROAD

Ujenzi wake umeanza!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Hata mikoa inayochangia waliwezeshwa kwanza.
Tuanzia hapo!
Kwani hizo hela za kuendeleza Singida zitoke mikoa gani kwa taarifa yako Singida Tra 2022 walikuwa kati ya mikoa ya mwisho pamoja na Lindi na Katavi kukusanya kodi hadi unajiuliza kama kuanzisha mkoa kama katavi walikusanya 6 bilioni wakati arusha walikusanya 450 bilioni na Kilimanjaro over 230 bilioni bila utalii Dar walikusanya over 70% ya kodi tra! Je Singoda itabebwa hadi lini? Tujadili hapo
 
Back
Top Bottom