lami

  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za mitaani za lami Dar zimetoboka sana, TARURA changamkeni

    Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi. Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo. Kwa sasa, jiji linakabiliwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na ujenzi wa miundombinu ya...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bitumen inayotengeneza lami itakuwa inazalishwa hapa Tanzania

    Hii itaendan na serikali kussuport ujenzi wa asphalt concrete mixing plants nyingi sana lengo Lami inayotengenezwa hapa Tanzania inakua na uzuri na ubora wa hali ya juu sana Gharama za kutengeneza km 1 ya lami inafika anagalau million 500
  3. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Ekari 30 zimegusa barabara ya lami, Boko Dar. Bei billion 6

    ENEO LA UKUBWA WA SQM 120,000 SAWA NA EKARI 30 LINAUZWA LIPO BOKO-DAR ES SALAAM. ENEO LIMEZUNGUKWA NA BARABARA YA LAMI. ENEO LINA FENCE. HATI SAFI YA WIZARA. BEI BILIONI 6. 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  4. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami

    Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami kabisa. 1000 sqm. Limepimwa. Bei Mil.430. Contact 0788893364
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini

    Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini kwa barabara za mijini na vijijini. Bajeti ta TARURA imeongezwa kutoka shilingi bilioni 654 hadi trilioni 1.59 ambazo zimeongezwa ndani ya miaka...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya watu wa mikoa ya kaskazini ni barabara za lami, reli na mipango miji na sio umeme kutoka Ethiopia!

    Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa. Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya: 1. Barabara za lami 2. Reli ya mpya (SGR) 3. Mipango miji 4. Viwanda Kusema ataleta...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Asfati au Lami: Tanzania Inatumia Zaidi Ipi, je ipi itaokoa matengenezo ya kila mara!

    Swali: Ningependa kujua kati ya Asphalt na Tarmac, ipi inatumika zaidi nchini? Na ipi ina manufaa zaidi kwa mazingira yetu, hali ya hewa, na gharama za ujenzi na matengenezo? Pia, je, kuna mpango wowote wa Tanzania kutumia teknolojia mpya kama barabara zinazozalisha umeme (solar roads) au...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami

    Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
  9. danhoport

    JamiiForums Tanzania Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  10. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbe bado kuna siasa za kuleta lami na madaraja

    Kumeanza kuchangamka sasa. Slogan ni ile ile tetea ugali wako mapema. Sisi Watanzania hakika tulirogwa. Makofi tafadhali.
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami?

    Natoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
  14. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

    Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake , Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato, Hizi ni...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dhamira ya Serikali ni Kujenga Barabara ya Ndala - Mwawaza kwa Kiwango cha Lami

    DHAMIRA YA SERIKALI NI KUJENGA BARABARA YA NDALA - MWAWAZA KWA KIWANGO CHA LAMI "Barabara inayotoka Ndala kwenda Mwawaza Manispaa ya Shinyanga palipo na Hospitali ya Rufaa ipo kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 lakini Makamu wa Rais alikuja Shinyanga akatoa ahadi. Ni lini Serikali itaanza ujenzi wa...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

    Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa bilioni 3.5 kujenga barabara ya lami Milola

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo.Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jioni ya siku...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 11.6 Kujenga Kilomita 7.5 Barabara ya Lami Kata ya Usinge, Kaliua

    BILIONI 11.6 KUJENGA KILOMITA 7.5 BARABARA YA LAMI KATA YA USINGE - KALIUA Serikali imetoa Shilingi Bilioni 11.6 kwaajili ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami yenye Kilomita 7.5 inayoendelea kujengwa katika Kata ya Usinge wilayani Kaliua. Jumla ya kilometa 7.5 ambazo zimegharimu takribani...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
Back
Top Bottom