laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Silaha inayonyanyuliwa dhidi ya raia asiye na hatia huanzisha laana ya kizazi-Simulizi kuhusu Kijana George Chipeta

    Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Laana ya Ushoshalisti, Ukomunisti na Ujamaa

    Kama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika. Viongozi hulazimisha kuabudiwa. Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi. Viongozi hugeuza mfumo kuwa wa kifalme. Wananchi wa kawaida hufukarishwa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Cap: Ni kama kimekuwa vazi la laana hapa Tanzania

    Cap. Kapero. Ni moja ya mavazi yanayopendwa sana ulimwenguni tena na watu wema. Lakini kwa nchi yetu, vazi hili binafsi nimekuwa nikilinasabisha na uhalifu. Mara kwa mara matukio haramu ya utekaji ukitizama wale watekaji pale inapotokea wamerekodiwa hakosekani mmoja (au wawili au zaidi)...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Pwani ina laana ya mvua, imegoma wakati bara mvua zinanyesha?

    Msimu wa Christmas huwa ni mvua Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Amelaaniwa Kiongozi Muuaji, Yeyote Atakayekaa Karibu na Huyo Muuaji, Naye Huichukua Laana ya Huyo Muuaji.

    Taifa letu limepitia uharamia, ushetani na ukatili wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Mauaji haya yamefanywa kwa amri ya watawala, watawala wameyabariki na wameyatetea kuwa ni mauaji halali kwa sababu yalikuwa yanatishia nafasi zao za utawala. Watawala wamevishwa upofu, kiasi cha kuona...
  6. Yako Atta

    JamiiForums Tanzania Tuliona Tulioyoyaona: Ukuu wa Kihistoria na Laana ya Kiti cha Enzi

    Tuliona tuliyoyaona Zimbabwe ya Mugabe wa ZANU PF na Morgan Tsvangirai wa MDC, tuliyajua pia ya Venuzuela ya Hugo Chavez kabla ya Nicolas Maduro na baada ya Nicolas Maduro-Venezuela: Populism, Petro-State na Mporomoko wa kiuchumi. Huenda tuliona ndivyo sivyo na pengine zilikuwa ni taswira zaidi...
  7. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi. Makaisari wa Roma walikuwa...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kila mtanzania aliyechukizwa wakiamua kutumia njia za mungu,uchawi na laana utapona kweli.

    Huyu kasema ana muachia mungu,mwengine kasema ana muchia shetani,mwengine kaenda kukuvunjia tikiti maji,Tuje kwa walokole sasa hapa lazima kombolero liingie. Tukija TEC naona NOVENA itakwenda na wine kabisa. Haya wale wanaojua kwenda kwa waganga au ndugu zao ni waganga utasalimika kweli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Maumbile yetu na utajiri wetu isiwe laana tukauana kwa kushawishiwa na wanaotolea macho nchi yetu

    Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi. Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe watanzania wakauana kwa kushawishiwa na wale wanaotolea macho nchi yetu. Huu ni wakati wa watanzania...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kazi yenye laana ni ipi?

    Tanzania kuna shughuli nyingi sana za kufanya, niambie ni kazi gani ambayo bila ya kupepesa macho unaamini ina Laana, na unaiogopa kuifanya au kuwa muajiriwa wake? Fungukaaaaaa!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Waliouliwa ndugu zao ndio wanapewa msamaha, au walioua ndo wamepewa msamaha? Ikulu yetu siyo patakatifu Tena, mikono yenye damu ni baraka au laana?

    Waliouliwa ndugu zao ndo walipaswa waombe msamaha, Cha ajabu ndo wanapewa msamaha kwamba baada ya kuua ndugu zako nimekusamehe usirudie tena Mstari aliyonukuu wa Luka, ulitolewa na aliyekuwa anaenda kuuwawa sio wauwaji wake. Mama Bado anaonyesha hatakaji kukubali ukweli awe huru Bado analaumu...
  12. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Diamond, huwezi kuwaita wasanii wenzio "kenge", haka ka kijana ni laana!

  13. Evari77

    JamiiForums Tanzania LAANA YA DAMU

    Sammalize ya Somo laana ya damu Leo jumapili 9/11/2025 Laana ya damu ni mojawapo ya vifungo vya kiroho vinavyotajwa sana katika maandiko na mafundisho ya imani. Ni hali ambapo kumwagika kwa damu ya mtu asiye na hatia (au uhalifu wa damu ndani ya ukoo) huleta athari au hukumu ya kiroho kwa...
  14. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Siamini kama naelekea kuondoka kwenye Ardhi ya laana

    Mambo yakikaa fresh miezi michache ijayo namimi nitakua miongoni mwa wanajf wachache wanaoishi ulaya, kwa hakika nina furaha sana. Mambo yakitiki sidhani kama nitarudi kwenye hii ardhi iliyolaaniwa inayonuka damu! Nitakua natoa tuu pole nikiwa huko ughaibuni nawaangalia tu mnavyopimwa shaba.
  15. Tochuku

    JamiiForums Tanzania LAANA ya wanasimba kwa timu mbovu ya Berkane hatimaye yatimia rasmi leo, ashukuriwe Allah

    Wanasimba wenzangu kama mnavyokumbuka tulivyofanyiwa figisu na uonevu mkubwa na timu hii mbovu ya Berkane na hata kiongozi wao sababu ana cheo kikubwa huko CAF tukanyimwa kucheza mechi yetu ya fainali kombe la shirikisho katika uwanja wetu wa nyumbani Mkapa, hio haitoshi wakahakikisha wanamhonga...
  16. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli hakuna trace yoyote kihistoria au katika vitabu vya dini kuonesha sisi watu weusi labda tuna laana fulani maana tunapigika vilivyo

    Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida. Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona tayari Laana ya wana Yanga SC kwa Timu yao Kuichangia CCM Milioni 100 imeshaanza Kulipa huko Kigali Rwanda

    Jifanyeni tu mpaka sasa bado hamna Matokeo wakati mapema tu tayari Kipa Mjibinuaji Onyesha Boksa keshawekwa 1...!
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Nyie wahuni wa KM Mombasa laana inawatafuta. Tushawajua wote ingawa mlivaa musk

    Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
  20. Tulinagwe venance

    JamiiForums Tanzania Hii ni laana! Inakuwaje tumekaa kimya kwa anayofanyiwa Tundu Lissu?

    Hii ni laana tena Kali na aliyetulaani ametuumiza kweli kweli. Yaani Mwenyekit wetu Tundu Lissu yupo ndani anaumizwa makusudi lakini ndio Kwanza hata hatujui tufanye nini, ulaya wamejaribu kutusaidia ni kama ndio wanachochea usingizi mzito. Mange anasema na kusema ndio Kwanza tunazidi kulala...
Back
Top Bottom