laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusipomshukuru Nyerere kwa hili tutapata laana

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, ningependa nielekee kwenye mada husika. Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, katika pita pita yangu ya kutafuta ugali wangu, nimefanikiwa kukutana na watu mbali mbali waliotoka katika nchi mbali mbali za Africa na nje ya Africa. Hakika...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda saidia kuharakisha mchakato wa Katiba uepuke laana ya uzeeni

    Pole na majukumu Hongera kwa kuitwa kwenye kikosi kazi cha katiba na maridhiano. Bahati nzuri wewe ni mtoto wa mkulima na unatambua katiba iliyopo inatesa na kufukarisha wakulima Kila siku kwa kuwalinda wabadhirifu na wapigaji wa pembejeo za wakulima! Tutetee sisi wajukuu zako wakulima wenzio...
  3. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Kuepuka laana, tuweke tozo angalau ya Tsh. 20 kwa kila chupa ya maji ya kunywa kuwanusuru wenzetu wenye mahitaji maalum

    unajua misaada ambayo nchi zilizoendelea hutoa kwa nchi maskini ni sehemu ya kodi ya raia wa nchi husika ambazo wanatozwa na serikali zao ili kusaidia maskini kwenye nchi nyingine? Kwenye jamii yetu kuna watu wenye mahitaji maalum ikiwemo walemavu, Watoto mayatima, waliotelekezwa n.k ambapo...
  4. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni laana kubwa, tuungane kuutokomeza

    Rafiki yangu mpendwa, Baba wa taifa la Tanzania, Mwl J. K. Nyerere, baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni aligundua hii nchi ni ngumu sana kuiongoza. Baada ya tafakari ya kina, akagundua licha ya wakoloni kuondoka, bado kulikuwa na maadui wakubwa watatu walioendelea kuwepo na ambao ndiyo...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ushauri

    kichwa cha binadamu ni mithili ya tenki inapokea kila aina ya malighafi na bila kugoma labda ifike kwenye ukomo kulingana na ukubwa wa tenki hilo japokuwa asili ya tenki ni kupokea kimiminika lakini zipo malighafi ambazo huingizwa kwa namna tofauti madhara yake huaribu malighafi hiyo na...
  6. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na laana ya dunia

    Daaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena. Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake mgongoni. Akawakama anapita pale nilipo, gafla akarudi pale nilipo mimi akanisalimia mambo vipi. Tukapiga...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baraka hutoka kwa Baba; Laana hutoka kwa Mama, utaamua mwenyewe

    BARAKA HUTOKA KWA BABA, LAANA HUTOKA KWA MAMA! UTAAMUA MWENYEWE! Anaandika, Robert Heriel, Mwanafalsafa. Utaamua mwenyewe, utapima na kuamua maisha yako mwenyewe. Baba ndiye mungu wa dunia, utake usitake, Mama ni msaidizi wa Baba upende usipende. Endapo hili halitatokea maisha ya mtoto huwa...
  8. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

    Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni...
  9. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba nisipoenda kuyasafisha makaburi ya wazazi na mababu nitapata laana au mikosi kwenye kazi zangu?

    Habari za muda huu! Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao(...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

    UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
  11. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lilianza kwa kukusanya laana badala ya baraka

    Wasalaam wana JF Katika tafakari zangu nimekua nijiuliza mambo mengi yanayohusu mustakabali wa taifa letu. Maranyingi ustawi wa taifa letu una kwenda mbele na kurudi nyuma kila baada ya awamu moja kwenda nyingine. Atakuja kiongozi mzuri atajenga uchumi anayefuata anabomoa. Hali kadhalika...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

    Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli. Jionee:
  14. L

    JamiiForums Tanzania Baraka, laana, shida zinazoambatana na baraka, vipaji

    RESOURCE CURSE Resource ni rasilimali Curse ni laana Hivyo RESOURCE CURSE ni balaa au laana ambayo inaambatana na nchi, mtu, kubarikiwa jambo flani. Waswahili wanasema kwenye miti hapana wajenzi. Nchi za kiAfrica zina experience sana hii laana, nchi zimebarikiwa na rasilimali za kutosha...
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania De Gea adai Man Utd wamepewa laana

    Golikipa wa Man Utd, David De Gea anadai kuwa timu yao itakuwa imepewa laana na ndio maana haifanyi vizuri kwasasa! Sijui tunachokifanya kwasasa, matokeo yamekuwa mabaya siku mpaka siku, nafikiri kuna mtu atakuwa ametupa mkosi/laana, aliongeza De Gea. Una maoni gani kuhusu kauli ya De Gea...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea AFCON nchini Cameroon, Waafrika tuna laana gani?

    Utaratibu mzima wa uandaaji wa mashindano ni hovyo (muingiliano wa ratiba na ligi kubwa duniani, mpangilio wa taratibu za msingi, usalama wa watazamaji n.k) Ubora duni wa waamuzi Pira bovu linaloonyweshwa na timu zetu (achana na ngozi nyeupe i.e waarabu) tena wachezaji zaidi ya 90% wanacheza...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naangamia naombeni msaada kukwepa hii laana

    Naandika kwa uchungu sana.. Yapata muda mrefu sana nilikua na mpenzi wangu na nilitarajia kumuoa hivi karibuni, ila kabla ya kuoana tulikua tunatafuta mtoto na nilitoa unabii mtoto wa kwanza atakua ni wakike na kweli kawa wa kike kama nilivyo nena.. Kilichotokea ni hivi mahusiano yetu...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  19. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 500 kwa ajili ya KUPUCK laana kuwa maandishi ya kubadili viongozi

    Kampuni ya Punch company limited Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:- ...... Mchawi sana/Freemason...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

    Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge. Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema. Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni
Back
Top Bottom