Cap. Kapero.
Ni moja ya mavazi yanayopendwa sana ulimwenguni tena na watu wema.
Lakini kwa nchi yetu, vazi hili binafsi nimekuwa nikilinasabisha na uhalifu.
Mara kwa mara matukio haramu ya utekaji ukitizama wale watekaji pale inapotokea wamerekodiwa hakosekani mmoja (au wawili au zaidi)...
Msimu wa Christmas huwa ni mvua
Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
Taifa letu limepitia uharamia, ushetani na ukatili wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Mauaji haya yamefanywa kwa amri ya watawala, watawala wameyabariki na wameyatetea kuwa ni mauaji halali kwa sababu yalikuwa yanatishia nafasi zao za utawala. Watawala wamevishwa upofu, kiasi cha kuona...
Tuliona tuliyoyaona Zimbabwe ya Mugabe wa ZANU PF na Morgan Tsvangirai wa MDC, tuliyajua pia ya Venuzuela ya Hugo Chavez kabla ya Nicolas Maduro na baada ya Nicolas Maduro-Venezuela: Populism, Petro-State na Mporomoko wa kiuchumi. Huenda tuliona ndivyo sivyo na pengine zilikuwa ni taswira zaidi...
Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi.
Makaisari wa Roma walikuwa...
Huyu kasema ana muachia mungu,mwengine kasema ana muchia shetani,mwengine kaenda kukuvunjia tikiti maji,Tuje kwa walokole sasa hapa lazima kombolero liingie.
Tukija TEC naona NOVENA itakwenda na wine kabisa.
Haya wale wanaojua kwenda kwa waganga au ndugu zao ni waganga utasalimika kweli.
Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi.
Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe watanzania wakauana kwa kushawishiwa na wale wanaotolea macho nchi yetu.
Huu ni wakati wa watanzania...
Tanzania kuna shughuli nyingi sana za kufanya, niambie ni kazi gani ambayo bila ya kupepesa macho unaamini ina Laana, na unaiogopa kuifanya au kuwa muajiriwa wake?
Fungukaaaaaa!
Waliouliwa ndugu zao ndo walipaswa waombe msamaha, Cha ajabu ndo wanapewa msamaha kwamba baada ya kuua ndugu zako nimekusamehe usirudie tena
Mstari aliyonukuu wa Luka, ulitolewa na aliyekuwa anaenda kuuwawa sio wauwaji wake.
Mama Bado anaonyesha hatakaji kukubali ukweli awe huru
Bado analaumu...
Sammalize ya Somo laana ya damu
Leo jumapili 9/11/2025
Laana ya damu ni mojawapo ya vifungo vya kiroho vinavyotajwa sana katika maandiko na mafundisho ya imani. Ni hali ambapo kumwagika kwa damu ya mtu asiye na hatia (au uhalifu wa damu ndani ya ukoo) huleta athari au hukumu ya kiroho kwa...
Mambo yakikaa fresh miezi michache ijayo namimi nitakua miongoni mwa wanajf wachache wanaoishi ulaya, kwa hakika nina furaha sana.
Mambo yakitiki sidhani kama nitarudi kwenye hii ardhi iliyolaaniwa inayonuka damu! Nitakua natoa tuu pole nikiwa huko ughaibuni nawaangalia tu mnavyopimwa shaba.
Wanasimba wenzangu kama mnavyokumbuka tulivyofanyiwa figisu na uonevu mkubwa na timu hii mbovu ya Berkane na hata kiongozi wao sababu ana cheo kikubwa huko CAF tukanyimwa kucheza mechi yetu ya fainali kombe la shirikisho katika uwanja wetu wa nyumbani Mkapa, hio haitoshi wakahakikisha wanamhonga...
Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida.
Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
Maana,
kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi,
Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
Hii ni laana tena Kali na aliyetulaani ametuumiza kweli kweli.
Yaani Mwenyekit wetu Tundu Lissu yupo ndani anaumizwa makusudi lakini ndio Kwanza hata hatujui tufanye nini, ulaya wamejaribu kutusaidia ni kama ndio wanachochea usingizi mzito. Mange anasema na kusema ndio Kwanza tunazidi kulala...
Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
Tundaman kwenye Simba day aliingiza jeneza iliyokuwa na zeruzeru ndani ili kumdhihaki Manara ambaye alihamia Yanga
Jeneza ni mauti baada ya tukio hilo kweli hadi Leo Simba wapo kwenye mauti, Toka wamdhihaki Manara na jeneza lao hawajapata kombe na wala hawatapa kikombe chochote
Leo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.