Talib Kweli Greene (; born October 3, 1975) is an American rapper, entrepreneur, broadcaster and activist. Kweli earned recognition early on through his collaboration with fellow Brooklyn rapper Mos Def, when they formed the group Black Star. Kweli's musical career continued with solo success including collaborations with producers and rappers Kanye West, Just Blaze, and Pharrell Williams. His most recent solo album is titled Gotham, released in 2020. In 2011, Kweli founded his own record label, Javotti Media.
Sijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda kesho itapatikana ya kutosha na bei itashuka lakini kesho inakuwa kesho na tena na tena.
Mvua za Tanzania ni za maajabu kweli kweli!
Zinanyesha Maji yake yanakwenda kujaa kwenye mashamba ya miwa na kusababisha uzalishaji wa sukari kushuka na hivyo bei ya sukari kupanda hadi kufikia Tshs.5,000/= kwa kilo 1.
( Rejea maelezo ya Waziri Bashe)!
Wakati huo huo mvua zinazonyesha Maji...
Nimeishuhudia Aly ahly kwenye mechi takribani 4 za kiushindani na nilitaka nijiridhishe zaidi kimbinu na kiufundi namna awa mabingwa wa kihistoria wa afrika wanavyocheza kwa sasa, na nilisubilia mechi kabambe ya kiushindani dhidi yake na mamelod!
Nilitaka nione ni namna Gani wanacheza kwenye...
Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli.
Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa agizo la Rais la kuagiza kuanza kwa mchakato wa katiba mpya.
Rais Samia alimtaka kuitisha mkutano...
Nilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu.
Sasa hawa jamaa huwezi kuwadhurumu aseee, hata ukisafiri mwaka ukirudi utamkuta anakusubiri.
Kuna jamaa yangu...
Picha inajieleza ....
======
Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya kukuletea mbashara matangazo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyoandaliwa na baraza la wanawake la chama hicho...
Ndugu zangu, jana nilienda sehemu kumsalimia shangazi yangu, sasa baada ya kufika pale nimemkuta mume wake akiwa kitandani amepooza hawezi kabisa kutembea ni miaka mitano sasa imepita toka awe ndani.
Kifupi nina muda mrefu sana sijamuona mumewe japo hili tatizo alilonalo nilisha lisikia muda...
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.
Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja.
Najiamini kuwa nami pia natoa raha why nihonge kupata K? Labda ijulikane tu mtu anauza so hayupo after raha. Sasa yaani...
Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,
Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha...
Hii ishu ya R.Kelly imenifikirisha sana yaani kumbe Kuna makosa aliyafanya 1994 yanekuja kuwekwa wazi na kuonekana kuwa ni makosa kipindi hiki.
Sawali; Kwanini mashitaka hayo ya 1994 hakufunguliwa miaka hiyo hiyo?
Aisee nafikiri huyu jamaa kipindi hicho alikua chini ya mamlaka Fulani iliyokuwa...
Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19.
Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
Pamoja na bidhaa kuwa juu,
Kama vile mafuta, sukari, n.k
Vile vile Tozo na kodi nyingi,
Bado sikukuu ya mwaka huu inaweza kuwa ya kipekee kulinganisha na zamani za pontio pilato,
Watu wamesafiri sana,
Bidhaa zimenunuliwa na kuuzwa sana,
Basi tumpongeze!
Kisha tumsihi aboreshe yaliyosalia...
Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO.
Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania ni Nchi ya ajabu kweli kweli!
Hayati Rais Magufuli amefariki hata mwaka mmoja haujaisha hofu kuhusu...
Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea...
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...
Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!
Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
Kuchelewa ni kweli tumechelewa lakini swali tunajua tunakokimbilia? Unaweza kudhani unawahi kumbe unakimbia kurudi nyuma.
Kwanini?
1. Kuna viashiria vingi kuwa uchumi unaporomoka na sipendi niviorodheshe maana vinaongelewa kila siku.
2. Democrasia, hii ni nchi sio familia ya nyumbani kwa MTU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.