Sera ninayoiendeleza inataka moyo katika mahusiano, inabidi uwe mwanaume kweli kweli

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,357
11,503
Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja.

Najiamini kuwa nami pia natoa raha why nihonge kupata K? Labda ijulikane tu mtu anauza so hayupo after raha. Sasa yaani mimi nikufanyie mchakato nawe ukojoe then nije kukulipa tena? Why? Kama ni dada poa ntajua hapo umekuja tu nipa raha mimi then unashika njia, hapo sawa.

Basi nlipata mahusiano na lidada moja linafanya kazi bank flan hivi hapa town. Nikaenda nalo mitaa ya kati kulichakata. Lili enjoy kama ambavyo nilienjoy.

Siku mbili tatu linanitumia msg nlipatie pesa ya matumizi. Nikaona heee, hii sasa soo. Yaani linafanya kazi muda tu bank, linalipwa mshahara mzuri sababu pia lina elimu nzuri. Mumewe anafanya kazi. Bado linataka mimi ambaye sina kazi nilipe pesa ya matumizi? Hivi wanawake akili zao wanapeleka wapi?

Na bado likiwa na nyeges linanitafuta nikalifanyie mchakato? Nikaona hapa sasa ni kulichana tu na mimi huwa sina tabia ya kumung'unya maneno. Nikaliambia no way mimi siwezi lipa pesa za matumizi. Kama vipi lisitumie.

Ndiyo, kama huna pesa za matumizi si unaacha kutumia? Au hapo mi ninakosea nini? Pesa za matumizi ni kwa ajili ya matumizi. Kama haipo unaacha kutumia.

Zawadi huwa natoa. Na kuna kipindi nililipa pesa ya kuweka mafuta kwenye gari. But hii ya kuja kabisa seriously kuomba eti nipatie pesa za matumizi, tena after some days linakumbushia niliona ni ukosefu wa matumizi mazuri ya akili. To hell, potelea pote. Kama litaninyima K yake nitapata kwingine.

Sera yangu miaka yote itabaki hivi hivi. Najua sisi wenye sera hizi tunachukiwa na mademu na wale wavulana wasiojiamini na madomo zege wanatumaind sana. Wanaona kama sisi ndiyo huwa tunawakwara mademu zao tena kwa kutumia pesa wanazo honga wao.

Acha waseme tu. Na nyie sellers najua mtatoa povu sehemu zenu zote za mwili zilizo wazi. Nimekaa pale 👉 mtanikuta.
 
Back
Top Bottom