kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiombwa kitu chochote kinachoanza na Herufi ya Kwanza ya ID yako utatoa nini?

    Ngoja tuone😅😅😅 Mi natoa Bia😎😎😎 Tulewe kwa kwenda mbele
  2. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma wa Kwanza Aliyezaliwa Siku ya Uhuru Kustaafu Mwaka Huu Desemba

    Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika. Lakini sasa...
  3. JamiiForums Tanzania 1863 Jeshi la kwanza la Nigeria linaundwa

    COMPREHENSIVE HISTORY OF HOW THE NIGERIAN ARMY CAME TO BE The history of the Nigerian Army dates back to 1863 when Lt. Glover of the Royal Navy selected 18 indigenes from the Northern part of what is now Nigeria and organized them into a local force, called the “Glover Hausas”. The small army...
  4. JamiiForums Tanzania Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

    NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3? Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania TBC ni kituo cha kwanza duniani kuwa na studio yenye jiko

    Wadau habari zenu !! Siku ya leo majira ya asubuhi nilioata wasaa wa kutazama chombo chetu cha habari cha taifa TBC TV katika hali ya kustaajibisha leo nikaona studio yao ina jiko kitu ambacho nimekiona cha ajabu sana,. Nimebahatika kutazama vituo kadhaa vikubwaa mfano CNN, BBC, Al jazeera...
  6. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuzingua kwenye mapishi, iwe ni mara ya kwanza unapika ama ukiwa mzoefu tayari?

    Hi guys, Natumaini mmekuwa na J'pili njema na yenye baraka..! Nakumbuka miaka ya nyuma ndiyo najifunza funza kupika maskiini, siku hiyo nikaambiwa nipike uji tena wa ulezi bhaana bhaana, nikatoa una madonge kama vichwa vya ndege, nilivyo 'phaller special' eti nikautia kwenye chupa na kujikausha...
  7. JamiiForums Tanzania Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

    Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi. Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji. Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO. Hii hapa ni takwimu za list season...
  8. JamiiForums Tanzania Siku yako ya kwanza ku drive highways ilikuwaje?

    Wadau uzi wa ku share experience yako kwa mara ya kwanza ku drive high ilikuwaje. Kwangu binafsi ilikuwa shida sana katika ku overtake yaani nilikuwa naogopa sana ila nilikuwa nikukuta road iko open nilikuwa speed sanaa 80Km/h nakumbuka nilikuwa na drive Mazda.
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kutoa pesa kwa mke wake 1825. Pumzika kwa amani huko uliko

  10. JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu. Naomba mnikaribishe
  11. JamiiForums Tanzania Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu

    Wakuu habari! Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto...
  12. JamiiForums Tanzania Zimbabwe Kujenga Interchange Road ya Kwanza Jijini Harare

    Serikali ya Zimbabwe imepata dola milioni 85 kujenga barabara yake ya kwanza ya ubadilishanaji (Interchange Road), Mbudzi Interchange Road jijini Harare. Serikali ilitangaza mipango na usanifu uko katika hatua za mwisho na ujenzi utaanza ndani ya muda mfupi. Viongozi wetu kaeni mkao mzuri...
  13. JamiiForums Tanzania Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
  14. JamiiForums Tanzania Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

    Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki, Fumanizi,chuki ,uhasama na Ugomvi mkubwa kifupi ni makando kando tele Mimi ninaye mmoja , nadhani katika...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Msanii Wizkid ameweka rekodi ya kuwa msanii Mwafrika wa kwanza kufikisha zaidi ya Streams Milioni 300 katika Audiomack

    Msanii Wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza Kufikisha Zaidi Ya Streams Milioni 300 Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Audiomack, Audiomack Wameshare Taarifa Hiyo Katika Ukurasa Wao Wa Instagram Huku Wakimpongeza Msanii Huyo Kuweka Rekodi Hiyo. Saa moja Baada Ya Wizkid...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali: Chaguo la pili na tatu kidato cha kwanza kuwa historia, wanafunzi kuanza masomo kwa pamoja

    Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi wanaoingia kama changuo la pili na la tatu (Second and Third Selection) kutokana na upungufu wa madarasa...
  17. JamiiForums Tanzania Chakula kwanza

  18. JamiiForums Tanzania Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

    Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato. Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani Chato.
  19. JamiiForums Tanzania Barrick yaendelea kufanya makubwa. Yaleta mtambo wa 'PhotonAssay' unaotumia Roboti. Ni wa kwanza barani Afrika na upo Tanzania Pekee!

    Wanabodi, Mambo mengine wala hata hatujui Kiswahili chake, hivyo wale wenzangu na mimi ambao lugha za watu hazipandi, mnisamehe. NEWS OCTOBER 10, 2021 Barrick Commissions Africa’s First PhotonAssay Laboratory Press Release All amounts expressed in US dollars unless stated otherwise Bulyanhulu...
  20. JamiiForums Tanzania Hii nchi ukitaka kuwa mzalendo kwa nyakati hizi basi cha kwanza lazima uwe mbumbumbu haswaa.

    Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi. Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…