Ebu tupeane changamoto tunazokutana nazo watoto wa kwanza kwenye familia

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Katika familia kuna changamoto mbalimbali na katika maisha pia je kuna changamoto gani wanapitia watoto wa kwanza katika familia.

Tupeane uzoefu unaweza kuona una changamoto kubwa kumbe yako ya kawaida sana kuna watu wanapita changamoto ngumu kuliko yako hebu tuongee kidogo na usimbee uwe mtoto wa kwanza alafu rofa😂😂😂😂
 
Wengi huzaliwa bila kutarajiwa, wengi wao wamenusurika kunyofolewa.

Just imagine..!!
 
Kabla hamjasema changamoto zenu tunazijua.

Nyinyi migongo yenu tumeipanda sana sisi wadogo zenu mpaka mkajuta kutangulia kuzaliwa 😊😊

Kadhalika hatutosahau makwenzi mliyokuwa mkitupiga pale mama anapotukabidhi kwenu
 
Back
Top Bottom