kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HIV Jab Sio “Raha Pass!” CHP wa Dagoreti South Awa wa Kwanza Kupokea, Aonya Vijana

    Mutua, a father of two and a Community Health Promoter (CHP) in Dagoreti South, has made history as the first person to receive the new HIV prevention injection. Using his platform, he’s mobilising youth to embrace the jab while reminding them it’s added protection, not a free pass. “Nikiwa CHP...
  3. JamiiForums Tanzania Yani mtu anadhani akikuita kafir eti ndio amekuweza😁, no bro, kwanza hata hatujui neno linamaanisha plus ni compliment maana umenitofautisha na wewe

    "Tatizo wanadamu wa siku hizi ni wabishi sana" by smart 911
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuhusu Watumishi wa Mikataba Ilala. Mkurugenzi amedanganya!

    Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000. Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA someni katiba kwanza badala ya kudanganyana kuwa serikali inamwomba Lissu awe waziri mkuu.

    Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
  8. JamiiForums Tanzania Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi

    Wakuu! Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi 😄✈️ Twende kazi! 👇🌎
  9. JamiiForums Tanzania Ifahamu ‘Kwanza Unit’ Kundi la muziki la zamani lililotaka kuifanya Tanzania kuwa Taifa la Hip Hop

    CREW YA KWANZA UNIT . waanzilishi wa "Kwanza Unit" ilikuwa ni Muunganiko wa makundi matatu makuu ya hip-hop kwa kipindi hiko. Makundi hayo ni kama ifuatavyo.. 1. Villain Gangsters 2. Raiders Posse 3. na Tribe-X. Kwa mujibu wa Chuef Rhymson, mwanachama mwanzilishi wa kundi la Villain...
  10. JamiiForums Tanzania Hatutapata suluhu ya kweli mpaka turidhiane kwanza

    Wanaoshangilia siku 100 za rais Samia madarakani wasishangilie sana. Wasishangilie sana kwa sababu kwanza kinachotajwa kuwa ni mafanikio kwa hakika ni sehemu ya utekelezaji wa mambo ambayo serikali inaoaswa kuyatekeleza. Unashangiliaje kuwa hivi sasa watu wanapewa maiti bila kudaiwa bili...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kuanzia Rais Hadi madiwani wanapaswa kwanza kushukuru wananchi Kwa kuwalipa mishahara posho, magari, nyumba pensheni na Bado kuna wizi

    Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa . HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

    Mara ya kwanza kulala na malaya ilikuwa mwaka 2014. Nikiwa nimetoka job nilikutana na mtoto wa baba mdogo (RIP), alikuwa na mshikaji wake wa chuo (Muhaya) sasa wale jamaa mi sikujua plan zao. Tukaingia mahali mitaa ya Sinza tukaanza kula msosi na kupiga story mpaka ikafika usiku. Kumbe wale...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hili ndio toleo la kwanza la bia ya Serengeti

    Ilikuwa bia tamu yenye ujazo wa uhakika na kilevi cha kueleweka Niliinywa kwa mara ya kwanza mwaka 1994 kwenye promotion iliyokuwa inaendeshwa na Prime time promotion pale Mwananyamala Siku ya pili nilipitia hapo bar nipate mtori niwahi job nikaagiza moja ya kushushia.. By the time namaliza...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza watu weupe wanapitia oppression na kuelewa inavyouma

    Katika wiki za hivi karibuni, Marekani imeonekana kama mahali ambapo taasisi za dola zinazotumia nguvu—kama ICE (Immigration and Customs Enforcement)—zinapoanza kutenda kwa ukali usio na uwazi, watu wengi weupe wameanza kuona na kuelewa jinsi nguvu hizi zinavyoweza kuumiza maisha ya kawaida ya...
  15. JamiiForums Tanzania HOJA Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  16. JamiiForums Tanzania Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  17. JamiiForums Tanzania Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

    Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine. Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina Ilitokea mwaka 622 BK. Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK. Akiwa na umri wa miaka 40 Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia Tukio lilitokea pangoni...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana

    Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana. Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  20. JamiiForums Tanzania Suala la kuudha dhahabu harikubaliki Samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa

    Suala la kuudha dhahabu harikubaliki samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa. Najuq hana uchungu wowote na anaweza kuuza hata mbuga za wanyama hana mamlaka hayo ametwaa madaraka kinyume cha sheria kwa kuuwa watanzania. Tutakuja na mpango wa kurudisha rasilimali zetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…