kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Lipeni fidia kwanza kabla ya kuchukua ardhi ya Mwananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imetakiwa kuhakikisha inawalipa kwanza fidia wananchi kabla ya kuchukua maeneo yao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Mtanda amesema hayo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata za Sangabuye, Bugogwa na...
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na kiu kitu cha kwanza kujua: Sio kila anayekupa maji unywe, mengine kataa au yamwage

    Kiu ya Maisha Kila mmoja wetu hupitia wakati wa kiu. Kiu ya pesa, kiu ya kazi, kiu ya mapenzi, kiu ya mafanikio. Kiu inatufanya tuwe wanyonge, wenye pupa, na wakati mwingine tupofuke. Ndipo wengi hutunuku "maji". Maji yenye Sumu Lakini si kila anayekupa maji anakutakia mema. Kuna maji ya bure...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Tanzania na Maadili: Kitabu Cha Mwanafunzi Kidato Cha Kwanza

    Yupo ajuaye kitabu hiki kinafundisha nini?
  5. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Tumia silaha kuu nne

    TUMIA SILAHA KUU 4 TUMIA SILAHA KUU 4 Silaha ya kwanza 1)usitende dhambi jitahidi usitende dhambi na tubu dhambi zako mara kwa mara,samehe watu waliokukosea,usilale na hasira usikasirike,usiogope woga usiwe na hofu wala woga,uwe na imani kuu amini Yesu anaweza yote,na wewe unayaweza yote...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Kwanza ya Njia 6 Waanza Zanzibar

    My Take Safi sana Wazanzibari Kwa kuamua kujitegemea na kuonesha mfano. Mzanzibari hajawahi kuwa na sifa ya ubianafsi Wala ufisadi kama ule upande wa watu wenye mdomo sana. =========================== Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Said Bakari amesema Serikali imeanza...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wagonjwa wa ICU watibiwe kwanza, fedha itafuata baadaye

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Jua Namba Zako”. Waziri Mchengerwa amesisitiza kuwa Taifa lina uwezo wa kujenga mfumo imara wa afya unaodumu kwa muda mrefu, huku ushirikiano ukiwa ndio msingi mkuu wa mafanikio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kabla hujainyooshea kidole Serikali tafakari kwanza familia yako

    Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Eti mpaka leo kesi ya Lissu haijapangwa kusikilizwa! Hata mtoto wa darasa la kwanza atakuwa amedharau mahakama zetu

    Yaani wameshindwa kabisa kuficha udhaifu wao kiasi kwamba hata wale waliokuwa hawaamini kuwa hii kesi no ya mchongo, sasa watakuwa wameamini. Tundu Lissu anaingia katika kundi la watu maarufu wa kupigania haki za watu duniani huku wao wakiingia katika historia ya watawala waovu na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Polisi muiteni Faris Burhani wa UVCCM aliyesema mkutanoni kuwa wapinzani atawapoteza kwanza kabla ya kimuita Hilda Newton

    Faris Burhan alisema mchana kweupe kwenye mkutano kuwa atawapoteza wapinzani, hamjawahi kumuita na kumpeleka mahakamani! Leo mnamuandama Hilda Newton. WHY DOUBLE STANDARDS?
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia: Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe

    Wanaukumbi. Sikiliza msimamo wa Saudi Arabia leo: “Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe. Tangazo kuu la Saudi Arabia.” Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 80, Wasaudi wanasema HAPANA kwa Marekani. Ninaiita Ugeuzi wa Karne wa Saudi Arabia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaosema haki kwanza wapo wapi?

    Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya Iran ?
  13. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa kwanza kuondoka na 30M (Vijana uchumi challenge)

    Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeandaa Shindano la Vijana Uchumi Challenge lenye kauli mbiu ‘Wana tunafikiri, Taifa linasonga’. Shindano hili linalenga kukuza Mawazo ya vijana, yenye ubunifu, yanayotekelezeka na endelevu katika kulinda na Kukuza Uchumi wa Taifa letu dhidi ya athari za...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Australia yamteua Mwanamke kuongoza Jeshi kwa Mara ya kwanza katika Historia ya taifa hilo

    Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi. Luteni Jenerali Susan Coyle, ambaye kwa sasa ni mkuu wa uwezo wa pamoja wa kijeshi, anatarajiwa kuwa mkuu wa jeshi la...
  15. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Siku Ya kwanza Iran waliposhambuliwa na Marekani na Israel, waliandika hivi

  16. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Hiki ndo kinachotokea sekunde ya kwanza uhai unapoanza

    🚨 Wanasayansi wamenasa picha ya wakati maisha yanaanza! Katika sekunde ile ile ya mbegu ya kiume inapokutana na yai (fertilization), mfululizo tulivu wa shughuli za kibiolojia huanza: mabilioni ya protini huanza kusogea na kupanga mifumo juu ya uso wa yai. Watafiti kutoka Massachusetts...
  17. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeingia Sirari Kenya, tofauti ni kubwa sana, Watanzania bado tupo fofofo

    Wakuu, Narudia tena watz bado tupo fo fo fo Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi. Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz. Nililala Sirari aisee pale ni kijiji, hamna chochote cha kusema kuna maendeleo, ni barabara moja na vumbi pande zote. NILIVYOVIONA...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ndo kitu kilichonifurahisha zaidi hapa JF siku nilipokiona kwa mara ya kwanza

  19. A

    JamiiForums Tanzania Njia ya Kwanza ya Kutambua uwezo wa Kiongozi ni watu walio Mzunguka-Machiavelli

    This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle indicates a smart leader, while sycophants suggest a weak one. Key insights from this perspective...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Askofu wa kwanza duniani mwanamke aapishwa rasmi

    Askofu Mkuu mwanamke wa kwanza Dame Sarah Mullally ameapishwa rasmi kuwa katika historia ya Kanisa la Anglikana duniani, akiongoza waumini takribani milioni 85. Ingawa alianza majukumu yake tangu Januari mwaka huu, hafla ya kuapishwa imefanyika kama sehemu ya kuthibitisha rasmi mwanzo wa...
Back
Top Bottom