Simba ni moja ya timu mbili tu kati ya timu NANE (8), zilizofanikiwa kushinda mechi ya kwanza ya robofainal confederation cup.

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa:
2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga RSB Berkane 2:1
2. Kati ya timu NNE zilizokuwa nyumbani ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi. Timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Zilizobaki ziliambulia sare ya bila magoli.
3. Kati ya timu mbili zilizopata ushindi wa nyumbani, SIMBA ndiyo ilifaidika zaidi maana mgeni wake hakuweza kupata goli la ugenini. Kwa hiyo Kama Simba ikifungwa goli moja kwa bila ugenini hiyo itakuwa ni SARE na muda utaongezwa, lakini Kama Al Masry akifungwa goli moja kwa bila ugenini atakuwa ametolewa kwa faida ya wapinzani wao kuwa na goli la ugenini.
4. Kwa hiyo ukizipanga timu zote 8 zilizoingia robo fainali kwa mujibu wa matokeo ya mechi ya kwanza, mkeka utasomeka Kama ifuatavyo:
1. Simba
2. Al Masry
3. RSB Berkane
4. Al-lttihad
5. Al Ahly
6. Pyramids
7. TP Mazembe
8. Orlando Pirates.

Cha ajabu wanaobeza ni wale ambao ambao hutolewa kwenye hatua za awali kwa kufungwa nyumbani na ugenini kabla hata hawajanusa hatua ya makundi!! Niwaambie tu kuwa UKIONA CHAELEA KIMEUNDWA!
 
6. Pyrates

Nilikuwa nimeanza kukuelewa, ulivyokuja na simulizi ya kufungwa goli moja mechi ya mechi ya marudiano nikaona tayari kusadikika kumeanza. Mechi ya marudiano mnapigwa vizuri tu, hakuna cha muda wa nyongeza au penalty.
 
Kwanza mlisema simba atafungwa,
Sasa hivi mnasema kimoja hakitoshi hii nchi hii

Anashindiliwa pirates ,kichefuchefu anapata utopolo....
Maajabu hayaishi

Kapoooombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Show me the waaaaaaaayyyyyy
Anawainua wanasimba uwanjaniiiiiiiiiii
Anawainua mashabiki elfu sitini hapa lupaso
Nani kasema simba haendi nusuuuuuuuu?
Uwanja unazizimaaaaaaaaaaaaa.......

Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeee....
Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeeeeeee......
Heshma ya Taifa la Tanzania ipo mabegani kwa wana Lunyasi........
Ukinuna uwe na sababuuuuuuuuuu
Simba inaibeba Nchi na wananchi wakeeeeeeee

Aghaaaaa aghaaaaa aghaaaaaaa

Hii ndio siri ya amaniiiiiiii na furahaaaaaaa
Simba sports clubbbbbbbbb
Simba sports clubbbbbbbbbbbb.............

Nani anatesekaaaaaaaaaaaaaaaa.......

This isssssssssssss SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA........

Pole wewe unayepata sononeko la moyo
Njoo simba raha zipo hukuuuuuuuuuu

Mtangazaji wa jana aliua sana
Ukinuna natuma tena kenge ww

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Issue si kushinda hiko kigoli kimoja Cha mchongo.. issue huko SA ataweza kutoboa kweli na huo Mpira alionao..?
 
Kwa upande wa Utopolo wanaoweza kuhoji kuhusu Simba na tukawachukulia serious kuyatafakari na kuyafanyia kazi waliyoyahoji ni SUNDAY MANARA na JAKAYA KIKWETE kwasababu kwa waliopo Utopolo ndiyo Watu pekee wenye akili kuwahi kutokea katika Dunia hii.

Nyie wengine hata mukihoji tunawaona ni Wanachama wa Kudumu wa MIREMBE MENTAL HOSPITAL.
 
Kati ya timu nane zilizocheza jana ni Simba tu waliopata ushindi bila (wao Simba) kutoruhusu goli.

Hapo nimesisitiza zaidi kwasababu mashabiki wa Vyura wanamibichwa mikubwa lakini haina kitu ndani.

Bichwa kubwa kama Ikulu ya Tanzania lakini akili azimo.
Bila kutoruhusu goli au bila kuruhusu goli?
 
Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa:
2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga RSB Berkane 2:1
2. Kati ya timu NNE zilizokuwa nyumbani ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi. Timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Zilizobaki ziliambulia sare ya bila magoli.
3. Kati ya timu mbili zilizopata ushindi wa nyumbani, SIMBA ndiyo ilifaidika zaidi maana mgeni wake hakuweza kupata goli la ugenini. Kwa hiyo Kama Simba ikifungwa goli moja kwa bila ugenini hiyo itakuwa ni SARE na muda utaongezwa, lakini Kama Al Masry akifungwa goli moja kwa bila ugenini atakuwa ametolewa kwa faida ya wapinzani wao kuwa na goli la ugenini.
4. Kwa hiyo ukizipanga timu zote 8 zilizoingia robo fainali kwa mujibu wa matokeo ya mechi ya kwanza, mkeka utasomeka Kama ifuatavyo:
1. Simba
2. Al Masry
3. RSB Berkane
4. Al-lttihad
5. Al Ahly
6. Pyramids
7. TP Mazembe
8. Orlando Pirates.

Cha ajabu wanaobeza ni wale ambao ambao hutolewa kwenye hatua za awali kwa kufungwa nyumbani na ugenini kabla hata hawajanusa hatua ya makundi!! Niwaambie tu kuwa UKIONA CHAELEA KIMEUNA
Nchi itafikia dunia ya kwanza kama tukiwa na vijana kama nyinyi
 
Back
Top Bottom