kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Kurusha Satellite yake ya kwanza Oktoba, 2022

    The launch of Uganda’s first-ever satellite, PearlAfricaSat-1, has been postponed to October 28 because of bad weather. The launch, which is supposed to be accomplished by America’s National Aeronautics and Space Administration (NASA), was initially scheduled for September 28. But in an...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi leo umepoteza point 3 muhimu kutokana na selection ya wachezaji kipindi cha kwanza

    Uwezo wa yanga kuondoka na point zote 3 leo walikuwa nao isipokuwa kocha Nabi alipotea maboya kwenye selection ya wachezaji walioanza mechi hii, tunajua gael bigirimana na kharid aucho ni wazito na awana kasi kutokana na umri kitendo kilichowafanya azam kutawala katikati na kulisogelea lango la...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji mmoja wa Kenya kati ya wale saba ana Jina la kwanza la ajabu

    Mzuka wanajamvi! Wakenya bana sometimes wanachekeshaga Sana. Kuna Jaji mmoja kati ya wale saba anaitwa Smokin Wanjala unajiuliza what's this? Hata kama kuiga huku ni kuvuka mpaka. Afadhali bongo tunaiga lakini siyo kivileee, mfano Dodoma kuna msela flan anaitwa Wolfgang Mponeja angalau. Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali isitishe kujenga Dodoma kwanza

    Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi. Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama serikali Ina nia nzuri ya kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kubana matumizi basi mahali pa kuanzia...
  5. JamiiForums Tanzania Muhimbili kuanzisha maabara ya kwanza nchini ya Upasuaji wa Sikio

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesaini mkataba na Kampuni ya Medel kutoka nchini Austria wenye lengo la kuanzisha maabara ya kwanza ya aina yake Afrika Mashariki ili kufundisha na kuboresha upasuaji wa sikio kwa wataalamu wa ndani na nje ya nchi. Akisaini mkataba huo, Mkurugenzi Mtendaji wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

    Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa...
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho Kenya Mungu anapinduwa meza ya mzaliwa wa kwanza kama alivyofanya kwa Esau akampa Yakobo

    Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kusoma hii paragraph ikifananisha utozaji kodi na ujambazi nilicheka sana. Leo naona ukweli

    The government does not, indeed, waylay a man in a lonely place, spring upon him from the roadside, and holding a pistol to his head, proceed to rifle his pockets. But the robbery is none the less a robbery on that account; and it is far more dastardly and shameful. The highwayman takes solely...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi huogopa kupoteza usichana wao kwa kuhofia siku ya kwanza ya ndoa yao na si kuwa na hofu ya Mungu

    Mambo vipi Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili. Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa kuhofia endapo wataolewa na mtu tofaut ambae aliemtoa usichana wake. Mwanamke hupitia wakat mgumu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wa mikoani(vijijini ) mtuvumilie kwanza, tunawathamini wa Dar Es Salaam ambako ndiyo Tanzania yenyewe!

    Waongozaji 90 wa makarani wa #Sensa2022 wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamesusia zoezi la #Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Chanzo: azamtvtz Kuweni wazalendo kwa kujitolea tu hata bure, taifa litawakumbuka na hata Mwenyezi Mungu nae...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ili KUBADILIKA wafuatao ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza

    Ili KUBADILIKA wafuatao ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza JE, NI NANI AANZE KUBADILIKA? Kabla ya kuitaka jamii yetu ibadilike ni kheri tufahamu kuwa wanajamii ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza ndipo jamiii tabadilika, lakini swali langu je, nani abadilike kama mambo yafuatayo wanajamii ndio...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto nilizopitia katika kilimo

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya, pia natumia fursa hii kukusalimia mpendwa wangu. Mimi naitwa Seif Ahmed Sambila mkazi wa kijiji cha Hanihani wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora, kazi yangu kubwa ninayojishughulisha nayo ni kilimo, ni kazi yangu kubwa ambayo inaniingizia kipato na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ratiba ya raundi ya kwanza mtoani CAF champions league itabadilika

    Kule EGYPT team zilizofuzu Club bingwa ni ZAMALEK na PYRAMID japo ligi haijaisha huku umebaki mchezo mmoja ZAMALEK ana point 77 huku PYRAMID ana point 71 , AHLY point 67. Kwenye RATIBA ya club bingwa tayari AHLY alipaswa kucheza raund ya pili ya club bingwa Sasa atapaswa kwenda Shirikisho...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba yupo mwanamke wa kwanza kuumbwa kabla ya Hawa?

    Hello 👋👋, habari za mida. Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni ADAM akafatiwa HAWA kama msaidizi wake katika bustani ya Eden. Hyo yote n kwa sababu ya maandiko...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Kwanza nominates Moses Wetangula as National Assembly Speaker

    Moses Wetangula President-elect William Ruto’s Kenya Kwanza has now nominated the alliance co-principal and Ford Kenya party leader Moses Wetangula to the position of Speaker of the National Assembly. This is according to Amani National Congress (ANC) party leader, and fellow Kenya Kwanza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Yanga kwa kuushinda mtihani wa kwanza point 6 ngumu

    Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi ikambidi asafiri km nyingi kwenda arusha jumatatu na kucheza jumanne kwenye mechi ngumu dhidi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni hapa, Unapotafuta mke, Ni sahihi kumueleza binti unataka kumuoa unapomtongoza kwa Mara ya kwanza?

    Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa? Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa

    Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani. Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Nashauri Dejan apangwe kwenye zile mechi zisizo na presha kubwa kwanza

    Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao. Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika hapo hapo na kona zote za nchi wataimba jina lake kwa mema hata mwenyewe atafurahia kuwepo Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…