kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kabla haujaweka Picha au Video ya Mtoto asiye wako Mtandaoni, omba Kwanza Ruhusa kwa wazazi wake

    Katika kipindi hiki cha teknolojia ambapo kila mtu anamiliki simu yenye camera na kunampa uwezo wa kupiga picha kitu chochote, wakati unaojisikia, Ni muhimu na vema kujitahidi kuelewa kuwa kuna umuhimu sana wa kuuliza wazazi/ walezi wa mtoto, hasa mtoto mdogo ambaye hawezi hata kusema ndio au...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana 812 waliochaguliwa kujiunga katika Programu ya BBT-YIA awamu ya kwanza

    Tarehe 23 Februari, 2023 Jijini Dodoma, Wizara ya Kilimo imetangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga katika programu ya Building Better Tomorrow: Youth Initiative in Agribusiness (BBT-YIA). Serikali kupitia programu hii itawawezesha vijana kushiriki kilimo biashara...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra viongozi wetu kuzindua miradi bila kusikia, 'kwa Afrika huu ni wa kwanza, pili au tatu?'

    Hili jambo kwa muda nimekuwa nimekuwa nikilishuhudia mara kwa mara pale viongozi wetu wanaposhughulika na miradi yetu na vyombo vya habari kuwasogelea. Binafsi sijisikii kuipenda sana hii tabia. Hata Ayoub Riyoba nimemsikia leo anasema SGR yetu ni ya kwanza kwa Afrika. Kwanini hivi...
  4. JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Mgunda ndiyo mtu wa kwanza anayefaa kulaumiwa kwa matokeo mabovu Simba

    Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi. Falsafa alizokujanazo Mbrazili toka mechi ya kwanza ni kasi, kutumia wachezaji wote, kufanya sub mapema sana akiona anakosea, ila...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Watendaji CCM jukumu la kwanza ni kusifia sifia

    Haya ndiyo maajabu ya serikali za CCM. Zote baba mmoja, mama mmoja. Ukisikia mtendaji au waziri kuwa ni mzalendo au mchapakazi kweli kweli, basi ujue hapo huyo kawazidi wenzake kwenye ile sifia sifia kama kigezo #1. Kigezo #2 kipo kwenye kuwakamua wananchi kwa maslahi ya aliyeko kwenye kiti...
  7. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

    Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana, Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya. Wake wataalamu tunawasikiliza. Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
  8. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa waraka wa kwanza unaolenga kuchochea ufufukaji wa kina katika maeneo ya vijijini

    China imetoa waraka muhimu wa kisiasa unaojulikana kama “Waraka Na. 1 wa serikali kuu” wa mwaka 2023, ambapo nchi hii imesisitiza lengo lake la kusukuma kwa pande zote ufufukaji wa vijijini kwa kuunganisha juhudi za Chama cha Kikomunisti cha China na jamii nzima, na pia kuongeza kasi ya kutimiza...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini inachukua muda mrefu kutoka oral hadi placement? Nadhani watu wapewe kwanza matokeo ya oral kwenye akaunti zao halafu wasubiri PDF

    Kwanini inachukua Muda mrefu kutoka oral Hadi placement? Nadhani Kwanza watu wapewe matokeo ya oral kwenye akaunt zao alafu wasubir PDF.
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa, Rais wa kwanza na pekee kuitwa Mahakamani

    Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na Rais wa Tanzania aliyeitwa Mahakamani. Mzee Mkapa Mahakamani
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni support yenu katika hili: Nimebuni shule ya kwanza ya mtandao, haitaji kufika shuleni tena, soma na fanya mitihani mtandaoni

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
  12. JamiiForums Tanzania Nimetengeneza shule ya kwanza ya kidigitali ambayo wanafunzi watasoma na kufanya mitihani wakiwa nyumbani

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
  13. JamiiForums Tanzania Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

    Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena. Rihanna na mpenzi wake Rapa #ASAPRocky wanatarajia mtoto wa pili ikiwa na siku 270 zimepita baada ya kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Mafundi Magari wa Kibongo hufanikiwa kujiinua kwa Promo halafu ukiwapatia kazi wanajiua kwenye kazi ya kwanza tu

    Mafundi garage wa kitanzania wana mchango mkubwa sana katika kuyatia ubovu magari ya watu. Mafundi hawa ni wazuri sana kwenye kujipigia promo na kuwaharibia waliofanya uwekezaji mkubwa. Utakuta fundi anawachambua yale magereji makubwa yakiwemo ya wachina na wakorea kwamba wale hamna kitu...
  15. JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kupata ujauzito akiwa ananyonyesha, kabla hajaona hedhi yake ya kwanza

    Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi. Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi. Hata hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania UPDATE: JAY-Z, DJ Khaled, Lil Wayne, Rick Ross kupanda kwenye steji za GRAMMYs Jumapili

    Baada ya kuwepo tetesi za mastaa hao kufanya onesho la pamoja, #RecordingAcademy ambao ni waandaji wa Tuzo za #Grammys wamethibitisha kuwa #JAYZ atakuwa kati ya wasani watakaotumbuiza Jumapili Feb. 5, 2023. Kwa mujibu wa #Variety, mastaa wengine wanaotajwa kuwa watatoa burudani kwenye usiku wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria. Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika. Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini. Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya. Hivi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 11,413 hawajaripoti Kidato cha Kwanza Rukwa

    Wanafunzi 11,413 ambao ni asilimia 45 ya wanafunzi 25,362 waliotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule wa sekondari mkoani hapa hawajaripoti shuleni tangu shule hizo zilipofunguliwa Januari 9 mwaka huu. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga amesema hayo Februari 2, 2023 wakati akitoa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kwanza kuzaliwa (first born) sipatani nao na mahusiano hayadumu. Je, ni mimi tu au tupo wengi?

    Hello mambo JF Crew!! Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na dharau nyingi, wanapenda kunyanduliwa hovyo hovyo hasa wenye majina E, A nikisikia herufi hizi nakata...
  20. JamiiForums Tanzania Wakwere mpo kwa mara ya kwanza natoa pengezi zangu za dhati kwenu

    Habari Wana MMU na kheri ya mwaka mpya binafsi nimekuja kutoa pongezi kwa mabinti wote wa kikwele kwani mmoja wenu kanipatia Mimi kijana wa Mara aisee sijawahi pata kwingine itoshe kusema nyie ni mafundi, mafundi mnajua kwakweli mapenzi yamezaliwa Pwani na siamini Pwani Mimi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…