Kabla haujaweka Picha au Video ya Mtoto asiye wako Mtandaoni, omba Kwanza Ruhusa kwa wazazi wake

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
572
2,548
Katika kipindi hiki cha teknolojia ambapo kila mtu anamiliki simu yenye camera na kunampa uwezo wa kupiga picha kitu chochote, wakati unaojisikia, Ni muhimu na vema kujitahidi kuelewa kuwa kuna umuhimu sana wa kuuliza wazazi/ walezi wa mtoto, hasa mtoto mdogo ambaye hawezi hata kusema ndio au hapana kama wanaridhia mtoto wao kupigwa picha na kuacha ukae nazo/ kusambaza kwa watu mitandao ya kijamii.

Kusema ukweli, binafsi hii kwangu ni moja ya vitu vinanikwaza sana sana! Mfano, mtu anakuja kukutembelea na anamuona mtoto - mara unashangaa ameanza kumpiga moto picha/ videos bila ruhusa. Ni ukiukwaji wa haki za watoto. Lakini zaidi ni disrespect!

Hata kama wewe ni ndugu, jamaa, rafiki, jirani - kwa mahusiano yoyote uliyonayo na wazazi/ walezi wa mtoto.

Mfano, unafanya kazi kama msaidizi wa familia, baby sitter na kazi nyingine zinazofanana na hizo, just because you have access to the baby - it doesn't mean that you can take a photo of that baby anytime you want

Ask to the parents if they are okay with that. I Don't do this with my baby, or any other out there. Zaidi, usipige picha mtoto kwa siri, ukitegemea wazazi/walezi hawakuoni.

Ask for permission.

Na hata kama wazazi wameridhia na kuamua wao wenyewe wataweka picha za mtoto/ watoto wao kwenye mitandao ya kijamii - a screenshot and sharing assuming it ia okay is disrespect.

A simple can I share it wouldn't hurt!

Respect boundaries
 
Ndiyo,wazazi wengine hawataki. Mi nilikuwa nafanya sana hiyo zamani lakini siku hizi nimeacha,or rather,siku hizi inabidi niwe more cautious. Siku moja mzazi ameingia kwenye internet ameiondoa Facebook picha niliyopiga na mtoto wake. That convinced me,kwamba hawa wengine hawapendi.
 
Hata kwenye sherehe za watu huwa natuloza simu yangu kwenye pochi sio kila kitu kupiga picha
 
Kuna jamaa nilitaka kumsue kwa milioni 200 kwa ujinga kama huo, alikuja kwangu kwa magoti, shenzy sana. Na angelipa hiyo pesa mbwa yule
 
HUu ni upumbavu mkubwa tena kwa watu kibao.
Mimi ntaeka kabisa bango mlangoni.
HAIRUHUSIWI KUPIGA PICHA.
Mbna jeshini hawapigi? Shenz kbsa
 
Sasa kama huyu ruhusa kaomba kwa mzazi gani
images%20(64).jpg
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom