PreGE2025 Polisi wamzuia Heche Kuzungumza na wananchi Mbarali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
 
Haya mambo hayahitajiki...tufanye siasa zenye ulinganifu na sio upendeleo.....CCM hatuhitaji hivi vitu ili kushinda...tuna wanachama wengi.
Umeonae, huo mkutano hauzuii chochote
 
IMG_5919.jpeg
 
Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
View attachment 3282904
Heche ndio nani nchi hii? Hata mawaziri hawasimami njiani kuzungumza na wananchi huyo mhuni ni nani nchi hii? Huo ni uhaini, anayeweza kusimama njiani ni Rais wa nchi na mara chache makamu wake au waziri mkuu. Hao nyumbu kwl ni zero brain ongezea na bangi.
 
Haya mambo hayahitajiki...tufanye siasa zenye ulinganifu na sio upendeleo.....CCM hatuhitaji hivi vitu ili kushinda...tuna wanachama wengi.
Kwa bahati mbaya sana viongozi wako wa chama hawaamini haya unayo yaamini wewe, ndiyo maana inalazimu sasa kufanya haya tunayo yashuhudia sote!
Jiulize kwa nini viongozi wako hawana imani kama uiyo nayo wewe mwanachama wa kawaida.
Huenda kuna jambo wanalolijuwa wao ambalo wewe hulijui, jambo linalowatia hofu kubwa mioyoni mwao, kiasi kwamba inawalazimu wayategemee haya tunayo yashuhudia sote.
 
Heche ndio nani nchi hii? Hata mawaziri hawasimami njiani kuzungumza na wananchi huyo mhuni ni nani nchi hii? Huo ni uhaini, anayeweza kusimama njiani ni Rais wa nchi na mara chache makamu wake au waziri mkuu. Hao nyumbu kwl ni zero brain ongezea na bangi.
Bila kujali ubovu wa fikra zako, imenilazimu kwa mara moja hii nikutaarifu ifuatavyo:
Heche hakuwalazimisha watu hao walio kusanyika kujahapona kutaka wamsikilize. Hao watu ni waTanzania kama ulivyo wewe na sisi sote. Sote tunayo haki ya kuwa na fikra zetu na kutaka kusikia mawazo tofauti kwa uhuru bila ya kupangiwa na yeyote nani wamsikilize.
Kwa hiyo hayo yaliyofanywa na polisi siyo kwamba wamemkomesha Heche, bali ni HAKI ya wananchi iliyo kanyagwa.

Kutokana na ulivyo andika hapo juu najua huna uwezo wa kuyaelewa haya niliyo yaweka hapa.
 
Heche ndio nani nchi hii? Hata mawaziri hawasimami njiani kuzungumza na wananchi huyo mhuni ni nani nchi hii? Huo ni uhaini, anayeweza kusimama njiani ni Rais wa nchi na mara chache makamu wake au waziri mkuu. Hao nyumbu kwl ni zero brain ongezea na bangi.
Umesema hamna waziri anasimama njiani? Unaish tz au uko kwenye dunia yako?
 
Haya mambo hayahitajiki...tufanye siasa zenye ulinganifu na sio upendeleo.....CCM hatuhitaji hivi vitu ili kushinda...tuna wanachama wengi.
Hamna wanachama wengi, mnambeleko ya vyombo vya dola.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom