kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. Umeunguza mboga badala ya kuzima moto unapuliza perfume kuzuia harufu isisambae

    Kwa sisi wakatoliki, Unapoenda kutubu dhambi, Jambo Moja la msingi, Lazima ukiri na utamke kwa kinywa chako kwamba aidha ulizini, Uliiba, Ulisema uongo nk. Kabla ya kwenda kukiri lazima uwe umejutia na udhamirie kuziacha, na kama kutakuwa na malipizi itakupasa kukamilisha kwa ajili ya ondoleo...
  2. Waziri wa Vijana Ndugu Nanauka akishindwa kuzuia D09 Afutwe Kazi

    GTs, Samia tangu amteue Nanauka kuwa waziri wa vijana sijaona alichofanya zaidi ya kucheza bao na wahuni aliowakodisha. Yaani badala ya kuamrisha yafuatayo; 1. Kuhakikisha vijana hawatekwi tena 2. Kuhakikisha vijana wote waliofariki maiti zao zinapatikana 3. Kuhakikisha vijana wote...
  3. S

    Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  4. Q

    PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  5. Trump kuzuia nchi za dunia ya tatu kuingia Marekani

    Kutoka kwenye andiko lake refu kwenye ukurasa wake wa X(twitter) Rais wa US, Donald Trump, amesema atazuia watu toka nchi za dunia ya tatu(third world countries) kutoingia Marekani mpaka pale mifumo yake ya uhamiaji itakapokaa sawa. "I will permanently pause migration from all Third World...
  6. Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta

    Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta. Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
  7. Wamezuia wajibu wetu wa Kikatiba, lakini hawawezi kuzuia fikra zetu

    Leo hii, vijana nguvu kuu ya taifa, chemchemi ya matumaini tumezuiliwa kutimiza wajibu wetu wa kikatiba. Tumezuiwa kuzungumza, kuuliza, kushiriki, na hata kufikiri kwa uhuru tuliozaliwa nao. Swali linabaki: Nchi hii ni ya nani? Kwa nini tunaishi kama wageni katika ardhi tuliyoirithi kwa damu na...
  8. M

    GE2025 Maeneo ya kimkakati ambayo Polisi hawawezi kuzuia maandamano

    1. Vituo vya kura 2. Sheli za mafuta Leo naongelea eneo la pili, "Fire/Fuel is the key" Ndugu wa Tanzania ikitokea mko karibu na kituo cha mafuta na polisi wameamua kutumia nguvu nyingi, kimbilieni eneo la Sheli ya mafuta kwa sababu hawawezi kurusha silaha yoyote ya moto, wakirusha Sheli...
  9. GE2025 Wasira: Haki za Binadamu haziruhusu kuzuia wengine kwenda Kupiga Kura, atakayefanya hivyo Sheria inaruhusu ashughulikiwe

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa. Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
  10. M

    Ijue idadi ya Polisi Nchi nzima, na kwanini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kusimamia Uchaguzi

    Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
  11. Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  12. GE2025 Mbinu za kuandamana na kuzuia maandamano tarehe 29 zinaingiliana kama ifuatavyo

    Hamjambo! 1. Wanajukwaa Ladies and gentlemen. Upande huu kulia ni waandamanaji wanajipanga. Na kushoto kwa ni Wazuia maandamano. Wote leo wataonyesha mpango kazi wao kukamilisha zoezi la tarehe 29. 2. Kwa kweli haijulikani nani ataibuka kidedea kwani mbinu ni zilezile zinaingiliana. 3. Wote...
  13. Zimbabwe: Mamlaka kumchunguza Wicknell Chivayokwa Kesi za Rushwa na Ufisadi

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zimbabwe (ZACC), imetangaza kufungua upya jalada la Uchunguzi dhidi ya Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutokana na kuhusishwa kwake na masuala ya Rushwa na Ufisadi katika miradi aliyoifanya na Serikali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ZACC, imeeleza kuwa...
  14. Iran imesema itasitisha ushirikiano wake na IAEA baada ya Umoja wa Mataifa kuzuia uondoaji wa vikwazo

    Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kupinga kuondolewa kabisa vikwazo dhidi ya Tehran. Katika taarifa iliyochapishwa na...
  15. Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

    Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote. Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’ === CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa; "Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
  16. Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  17. Nawezaje kuzuia makengeza /malyenge kwa mtoto?

    Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini naona kama macho yake hayako sawa! Kuna mtu kaniambia unamuwekea poda chini ya macho itarekebisha….Lakin napata wasiswas Nimejaribu kugoogle mtandaoni lakini naona kama njia zao zipo complicated!! Ushauri ULIOBASE KWENE EXPERIENCE NI BORA ZAIDI
  18. R

    Polepole, sasa hilo umeliweka wazi la the Trio- NIDA-CCM-INEC. The big question is WHAT NEXT KUZUIA UCHAGUZI

    Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
  19. Jinsi ya kuzuia usiote ndoto za kishetani

    Watu wengi wanapolala huota ndoto. Baadhi ya ndoto ni za kawaida, nyingine zinatoka kwa Mungu, na nyingine hutokana na akili zetu wenyewe. Lakini pia zipo ndoto zinazotokana na shetani. Ndoto za kishetani huleta hofu, mateso na kumfanya mtu akate tamaa. Ndoto za kishetani hazifurahishi bali...
  20. GE2025 Kamanda Muliro: Jukumu la Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu. Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na ushahidi wa kwenda kutihibitisha

    Wakuu, Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na sio kusubiri yakishatokea ndio wafanyie kazi Amesema "Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…