kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mods kitendo chenu cha kuzuia Post ya Mistari 135 ya nukuu za HAKI kwenye Bibilia ni cha kuuona ukiristu ni dini ya Uchochezi.

    Leo nikuweka Post inayohusu HAKI kwenye Bibilia kwa makusudi na nia ovu mkaiondoa, Bibilia si kitabu cha uchochezi kama mnavyodhani, ni kitabu Kitakatifu hivyo nukuu zake lazima ziheshimike kama zilivyo. Ninawashauri muirejeshe ile Post kwa heshima ya Wakiristu.
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Watanzania wako juu ya Katiba, Katambi yuko sahihi kuzuia mikutano

    Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Taasisi za Vibali: Kuzuia au Kuwezesha Wajasiriamali?

    Taasisi Za Umma Nyingi Zinazohusika na Vibali (Regulatory Authorities) Kama BRELA TBS TMDA TCRA NEMC EWURA LATRA TRA OSHA GCLA n.k Hebu Ifike Hatua Tufanye Kazi Kwa kuwezesha zaidi na si kuzuia Kwa Mfano mzuri Mjasiriamali Anapata Wazo La Kuanzisha Biashara Kama Crips tu Za Kawaida Anatafuta...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Uchawi Upo, Wachawi Wapo na Wanaloga!, Anayeruhusu Kulogeka ni Wewe Mwenyewe!, Unaweza Kuzuia Kulogeka Kwa Imani! na Ukawa Hulogeki!.

    Wanabodi Japo uchawi upo na wachawi wapo na wanaloga!, anayeruhusu hicho kilogo kikufikie, au uchawi ukufikie, na kulogeka ni wewe mwenyewe bila kujijua, wewe unao uwezo wa kuzuia kulogeka bila kwenda kwa mganga yeyote au bila kutumia zindiko lolote bali ni kwa kujitambua tuu kwa kutumia...
  5. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Kwanini watu wanapata kitambi na jinsi ya kudhibiti uzito na kuzuia kitambi

    Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-DED, maofisa Utumishi wadaiwa kuzuia walimu kujitoa CWT, kujiunga na vyama vingine

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 20(1) inasema, “Kila mtu anao uhuru wa kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika, kushirikiana na watu wengine, na kwa ajili hiyo kutoa mawazo yake hadharani na kuanzisha na kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila, CCM, wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho

    Chalamila, na wengine wowote wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho. Hiki ni kizazi kipya, ni tofauti sana na sisi.
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kenya haipaswi kuwa “eneo la kuzuia virusi vya Ebola” kwa Marekani

    Mwezi Juni kwa kawaida huwa ni msimu wa baridi na wa kupendeza katika maeneo ya uwanda wa juu wa Afrika Mashariki. Lakini wakazi wa Nanyuki katikati mwa Kenya siku hizi wana hasira kubwa. Wamekusanyika katika malango ya Kituo cha Anga cha Laikipia, wakifanya maandamano ili kupinga kuanzishwa kwa...
  9. Mercenary Army

    JamiiForums Tanzania Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    WanaJF salamu, Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Juma Mkomi: Kuzuia barua za uhamisho wa Mtumishi ni uhalifu, Hilo si jukumu la Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria kuzuia uchomaji wa Taka ngumu mitaani

    Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani. Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu. Unakuta taka zina nailoni mbali mbali na materials nyingine ambazo zinaweze kuwa na madhara ya kiafya kwa wakazi wa maeneo hayo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kuzuia yaliyotokea ni sawa na kuzuia mkojo, kazi ambayo ni ngumu sana lakini mwisho wake mkojo utatakiwa kutoka nje kwasababu ulishaingia

    Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Aliyegundua Vijiti vya kuzuia mimba ametuhujumu wanaume

    Ma dem ckhz mpk upige mimba kaamua mwenyewe, wanaweka vijiti begani vya kuzuia mimba unapewa sharti no mimba mpk ndoa kwanza
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa JamiiForums kuleta feature mpya kuzuia Utapeli

    ecg Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk. Sasa katika kuendana na Mitandao ya kijamii kisasa imekua ikileta feature mbalimbali za kisasa na kwa sasa iko...
  16. greater than

    JamiiForums Tanzania Ujenzi: Kuzuia maji katika jengo

    SEHEMU YA PILI Namna ya kuzuia maji katika jengo 1.Mfumo wa kuchepusha maji mbali na jengo 2.Uwepo wa gutter 3.Matilio zenye kuzuia maji 1.MFUMO WA KUCHEPUSHA MAJI KATIKA KIWANJA Njia hii inatakiwa kutumika katika kukabiliana na maji yanayogusa sehemu za chini katika jengo lako,sehemu hizo ni...
  17. R

    JamiiForums Tanzania 'Reforms UK' kupiga marufuku ya Visa kwa nchi zinazodai fidia biashara ya utumwa

    Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Iran kuwaambia raia kukaa kwenye vinu vya nishati na madaraja kuzuia mashambulizi ya Amerika ni kiashiria kikubwa vita imeshaisha

    Hamjambo! Iran amedhihirisha hana plan tena yoyote ya maana ya kulinda taifa lake. Yaani adui anakutishia kukushambulia unatoa mkeo na watoto ati wakae mbele ili kumzuia adui asipige. Kwa kweli hii haikutegemewa kabiss. Iran amejitahidi kuonyesha uwezo alionao kupinga dhulma ya Mayahudi na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Urusi kuongeza hatua kali zaidi kuzuia matumizi ya VPN

    Urusi inapanga kuongeza hatua kali zaidi dhidi ya matumizi ya Virtual Private Networks (VPNs), ambazo hutumiwa na mamilioni ya Warusi kukwepa udhibiti na vikwazo vya mtandao, amesema waziri wa masuala ya kidijitali wa nchi hiyo. Hatua hii inayoelezwa na baadhi ya wanadiplomasia kama “msako...
  20. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Door sealer,raba za kuzuia wadudu mlangoni

    Kuna mzigo wa Door Sealer upo godauni la Silent Ocean unahitaji mtu wa kuuchukua haraka. ‎ ‎📦 Mzigo tayari upo godauni👉s silent ocean zipo pic 60 Unachotakiwa kufanya ni kulipia . binafsi nimeshindwa kulipia kwa sababu ya pesa kubwa ili kuutoa💰 nimepata changamoto nimeshindwa kuutoa,mwenye...
Back
Top Bottom