kuzingatia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa wanawake waliopo kwenye ndoa kwa kizazi hiki

    1. Usikope bila mumeo kujua. 2. Kaa mbali na ma ex wako wa zamani ambao ulikuwa nao kabla ya ndoa. Futa mawasiliano yao ukiwezekana. 3. Rafiki au mgeni yeyote wa kiume asije nyumbani kwenu na ukaribishe ndani wakati mumeo hayupo.Hata kama ni rafiki wa mumeo. 4. Usiende kwenye nyumba ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ili kupata msaada wa bure wa kisheria nchini Tanzania.

    Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,” ikirejelea wale ambao hawana uwezo wa kifedha wa kuajiri wakili binafsi. Watu hawa wanaweza kukabili...
  3. JamiiForums Tanzania Maana ya kiapo na mambo ya kuzingatia kisheria unapoandaa kiapo (affidavit)

    Unapoandaa affidavit au kiapo unatakiwa kuapa juu ya mambo ambayo yako kwenye ufahamu wako binafsi tu. Soma Order XIX rule 3(1) Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (CPC) inasema, "#Affidavits_shall_be_confined_to_such_facts_as_the_deponent_is_able_of_his_own_knowledge_to_prove..." Hata hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu na vyuo vya kati, jitahidini kuzingatia maadili ya vijana wetu wakiwa huko masomoni

    Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni, Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni. Vyuoni imekuwa sehemu ya kuwabadilisha vijana kuwa Makahaba wa hadharani Mapenzi ya jinsia Moja. Kutumia mihadarati...
  5. JamiiForums Tanzania Unazingatia Vitu gani kabla ya kuingia kwenye Ndoa?

    Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake. Kutokana na uelewa, experience na mtamzamo wako unahisi ni kipi kati ya hivyo ni vya kuzingatia zaidi? 1. ECONOMY STABILITY(UCHUMI)...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haki ya kuabudu kwa walemavu wa kusikia

    Kwa kifupi kuabudu ni haki ya kikatiba kwa kila mtanzania. Walemavu wakusikia kama walivyo alemavu wengine wamesahaulika kabisa sehemu za ibada kama misikitini,makanisani.hata katika baadhi ya makusanyiko ya kijamii Walemavu wa kusikia wanakutana na changamoto kadhaa katika maeneo ya ibada...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo Manne Muhimu ya kuzingatia kabla ya kuoa au kuolewa

    Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae. Mambo mnne muhimu ya kuzingatia kabla haujafanya maamuzi ni; 1. HOFU YA MUNGU (DINI) Hiki ni kigezo muhimu sana cha...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inatakiwa kuzingatia mambo haya ili kuleta mabadiliko mwaka 2024

    THE STORY OF CHANGE IN TANZANIA 2024---AFYA, ELIMU, AJIRA NA BEI ZA VITU. KWANZA Mwaka 2024 watanzania wanatamani kuona mabadiliko mbalimbali chanya ususani katika sekta za Afya,Chakula, elimu na usafirishaji(miundombinu) na sekta nyingine muhimu ambazo mara nyingi hizi sekta zinategemeana...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya kuzingatia katika malezi ya mtoto

    YAFUATAYO NI MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MALEZI YA MTOTO WAKO KULINGANA NA DUNIA INAVYOKWENDA . 1. Mfundishe mtoto kumjua na kumtanguliza Mungu katika kila Jambo analolifanya( Everything to put GOD first) Haijalishi kwa Imani gani atayokua nayo lakini Jambo muhimu kumtanguliza Mungu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Features za kuzingatia utakavyopanga kununua gari lako lijalo

    Wakuu kwema. Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika. Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B hafu basi. Hapana. Izo zilikua enzi za Land Rover 109 sio sahivi. Gari imekua zaidi ya chombo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Mara kadhaa nimeona mijadala humu kuhusiana na single mothers, kwa wengi imekuwa ni ushujaa kuwasema vibaya hawa wanawake wenye mtoto ama watoto na kwa kweli walioamua kulea watoto wao bila uwepo wa baba. Kuwa single mother sio kilema, sio upungufu wa akili ni matokeo tu ya maisha, kifo ama...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto za Nywila Ndefu na Mbinu za Kuzingatia

    Katika pita pita zangu nimekutana na kitu kinacho ongelea ulimwengu wa usalama wa simu za mkononi, kundi la watafiti lilianza kuelewa jinsi watu wanavyochagua nywila zao. Walitaka kuona ikiwa nywila ndefu zilikuwa bora kila wakati. Kwa mshangao wao, waligundua kuwa nywila ndefu haikuwa daima...
  13. JamiiForums Tanzania Huu ukaaji kwenye msiba wa Lowassa umepangwa kwa kuzingatia nini?

    Mhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa. MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya Rais ameketi CDF yaani Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Mkunda., halafu baada ya hapo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Chama cha Kikomunisti cha China chaendelea kuwa na mvuto kwa nchi za dunia ya tatu kutokana na msimamo mkali wa kuzingatia maadili

    Katika siku za hivi karibuni Rais Xi Jinping wa China aliongoza mikutano ya kamati mbalimbali za Chama cha Kikomunisti cha China. Kikiwa ni chama tawala cha China, na mchango wake katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii, vikao vya kamati hizo ambavyo ni muhimu katika utendaji wa chama...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia utapoamua kujiunga na Wahuni au genge la Wanywa Damu za Watu

    MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria na formula ulizopewa na wazazi au walezi wako lakini umeona hazifanyi kazi yaani ni useless kama sio...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

    Hebu jisomee mwenyewe hapa
  17. JamiiForums Tanzania Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  18. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
  19. JamiiForums Tanzania Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya: 1. Hakikisha gari iko vizuri 2. Ukiwa unaendesha na si mzoefu wa safari ndefu ni vizuri kusafiri mchana tu 3. Waza kufika salama na si saa ngapi 4. Epuka mafuta ya vichochoroni 5. Kama kwenu mbali yaani KM...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwongozo wowote unaomlinda mlaji kwenye uuzwaji wa kuku? Kuzingatia uzito

    Hello JF? Naamini kila kitu kina mwongozo kiserikali. Kwa siku za karibuni nimenotice ni kama hawa kuku yatima wanawawaisha sana kutolewa. Yaani now wamekua kama vinjiwa. Hivi inapaswa auzwe akifikia uzito gani? Au inategemeana na hitaji la soko. Kwamba uhitaji ukiwa mkubwa basi mtu anaamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…