Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki.
endeleeni kusimamia weledi wa kazi .
Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za majanga ya asili .
Tuendelee kuzilinda roho zenye utu katika safari zenu
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi
Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya
Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo
Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
INTRODUCTION : Huyo Mange angekuwa anawapenda na ana nia njema na Vijana wa Tanzania angewatafutia fursa za kazi na Elimu USA.
Mashujaa uchwara kila walipolala walitoa treni za kisasa zilizogharimu matrilioni zimekuwa majivu, waliota mwendokasi umekuwa chuma chakavu, waliota nyumba za wananchi...
Kanisa Katoliki ( Roman Catholic ) ndio kanisa la kale zaidi huku likishika historia nzima ya ukristo na likirekodi matukio mbalimbali tangu kuanza kwa ukristo hadi sasa...
Katika ku rekodi matukio na mambo muhimu ya ukristo, kanisa katoliki kuanzia lilipo anzishwa limeweza ku hakiki mambo...
1. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa)
2. Chagua mtu unayemwamini
3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana
3.Chagua mtu mwenye umri kalibiana na wa kwako.
4. Chagua mtu mwenye afya nzuri.
5.Chagua mtu anaependelea vile...
Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo:
1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY
Kama...
Kwanini nimeandika Uzi huu?
Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea.
Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia.
Faida zinazojulikana
Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika kileleni mwili hutoa homoni kama dopamine na oxytocin ambazo huleta hisia za furaha na utulivu...
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.
Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha...
Kuanzisha ghetto si tu suala la kupata chumba cha kupanga, bali ni hatua ya kuanza maisha mapya kwa heshima na mpangilio. Ili kuepuka kuishi hovyo na kukosa misingi ya starehe na usafi, zingatia haya mambo muhimu:
1. Tathmini Kipato Chako
Kabla ya kuchukua chumba, jiulize kipato chako...
Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati nasibu? Ukweli ni kwamba jinsi unavyotumia dakika zako za kwanza baada ya kuamka, huamua kasi na...
Kama dunia ingekuwa imenyooka kama katika ile bustani basi ungekuwa huru kufunguka Kila KITU. Ila ya Sasa ni vurugu tupu angalia sana unavyovisema maana vinakutambulisha.
Mambo machache ya kuzingatia...
1: Hakikisha hufunguki 100% kusudi lako na umepanga kufanya nini. Acha watu waone matokeo...
Akizungumza Jumatatu Agosti 18, 2025 Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa Juma Khatibu katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), mkoani Dar es Salaam, Khatibu amempongeza Msajili wa Vyama vya...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
Nimepata fursa ya kufanya interview kwenye kampuni ya utalii kutoka Egypt
Kupitia zoom meeting
Sasa jamaa wamenitumia email kuwa saa kumi na moja kamili niwe onair
Nizingatie mambo Gani?
Wakiniuliza experience mana KAZI ni mambo ya utalii wakati Mimi ni mtalaamu wa sayansi ya jamii...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka mkazo maalum wa lishe bora, malezi yenye upendo na mazingira salama kwa ajili ya ustawi wao...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini
Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
Kampuni ni model ya biashara inayopendwa sana na ambayo infant ni rahisi sana ku scale.
Lakini Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla hujafanya maamuzi ya kufungua Kampuni;
1. Capital
Mtaji una play part kubwa sana ya Kampuni, ni lazima ujue unahitaji kuandika ni capital kiasi gani utaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.