Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Apr 11, 2018
758
551
Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi.

Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar.

Ninaamini kukiwa na uzalishaji mzuri soko lipo maana Dar ina wakazi wengi...nimeshaanza uzalishaji mdogo mdogo, hivyo Mshirika akisaidia kupata eneo kwa ajili ya kuzalisha na kuanika kwa wingi itakuwa jambo jema.
mkaa-poa-3-png.2382225
 
Attachments

  • Mkaa Poa 3.png
    Mkaa Poa 3.png
    84.4 KB · Views: 95
Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi.

Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar.

Ninaamini kukiwa na uzalishaji mzuri soko lipo maana Dar ina wakazi wengi...nimeshaanza uzalishaji mdogo mdogo, hivyo Mshirika akisaidia kupata eneo kwa ajili ya kuzalisha na kuanika kwa wingi itakuwa jambo jema.
mkaa-poa-3-png.2382225
Tuwasiliane
 
Briquette, ni nzuri sana, Kwa Arusha zinalipa sana kwa sababu Mahoteli ya Kitalii yalioko polini hawaruhusiwa kutumia kitu inaitwa mkaaa au kuni, hivyo wanatumia huu mkaaa mbadala,
 
Mkaa ni mzuri sana sema mwamko wa raia kuutumia uko chini sana
Changamoto kubwa ni kupatikana kwa huo mkaa halisi kwa urahisi.

Nikipita pita karibu kila kona kuna Magunia ya Mkaa.

Kama Watu wangekuwa wanahurumia Misitu ingekuwa nafuu sana.
 
Briquette, ni nzuri sana, Kwa Arusha zinalipa sana kwa sababu Mahoteli ya Kitalii yalioko polini hawaruhusiwa kutumia kitu inaitwa mkaaa au kuni, hivyo wanatumia huu mkaaa mbadala,
Hata Dar sema changamoto itakuwa kwenye bei, inabidi iwe chini ya Mkaa wa kawaida maana bado inapatikana kwa bei nafuu.
 
Changamoto kubwa ni kupatikana kwa huo mkaa halisi kwa urahisi.

Nikipita pita karibu kila kona kuna Magunia ya Mkaa.

Kama Watu wangekuwa wanahurumia Misitu ingekuwa nafuu sana.
Hakuna huruma na still watu wanaomba mvua, misitu isha teketea sana na hakuna anaye hali kuanzia mkuu wa ncni hadi mtu wa chini
 
Back
Top Bottom