kuzaa watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    Endapo ungejua kabla ya ndoa kuwa mpenzi wako hana uwezo wa kuzalisha / kuzaa watoto, bado ungemuoa au kuolewa naye?

    Kuna kesi ya kusuluhisha tumeletewa ya mwanaume ambaye alijua hana uwezo wa kuzalisha kumuoa mkewe bila kumwambia kwamba hana uwezo wa kumpa mmba. Sasa hivi ndoa ina miaka 3, mke alienda hospitali kwa ajili ya uchunguzi akakutwa hana shida yoyote, akaanza kukazia mumewe naye aende hospitali...
  2. Tajiri Tanzanite

    Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hapo vip! Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende. Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
  3. Yoda

    Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
  4. R

    Nchi zinazolipa wananchi kuzaa watoto

    Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi. Kupitia mpango huo, familia zitapokea takribani dola 500 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka...
  5. R

    Wanawake walioishia darasa la saba wapewe maua yao, nje ya kujizolea points za kudumu kwenye ndoa, wanaongoza pia kuwa tayari kuzaa watoto 4 au zaidi

    Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia. Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa pili. Raha ya ndoa watoto, na raha ya mtoto ni kuwa na ndugu zake wengi. Wanawake wengi sikuhizi...
  6. Red shadow

    Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

    Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni. Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!! Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
  7. Mzee wa makamo

    Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

    Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato. Naombeni msaada kwa anaye jua
  8. B

    Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  9. G

    Watoto hawana faida, hasa kwa masikini. Kuzaa watoto ni mateso ya kujitakia tu

    Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo. Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la...
  10. A

    Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  11. Kitchener

    Mwenye shida ya uzazi soma download hii doc

    Kuna kipindi nilikuwa sina watoto, miaka nenda rudi, nilitafakari maneno haya na kumwambia Mungu kuhusu haya, Mungu alikuja kufungua tumbo la mke wangu, nina watoto hadi tunapambana kuzuia mimba wasije wengine. Mungu ni wa ajabu sana. WATOTO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU Mwanzo 1 :28, Mungu...
  12. matunduizi

    Kuzaa watoto wengi bila mpango mkakati wa kuwalea utahukumiwa

    Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0. Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
  13. Jogoo mbegu

    Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

    Kwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora. Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao...
  14. BARD AI

    Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi. Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi...
  15. B

    Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

    Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika. Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo. Kipindi kama hiki cha mvua...
  16. system hacker

    Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

    Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
  17. Sildenafil Citrate

    NADHARIA Matumizi ya Muda mrefu ya Dawa za uzazi wa Mpango husababisha kuzaa watoto wa Kiume wenye homoni za Kike

    Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji. Baadhi wameonesha wasiwasi wao kuwa dawa hizi husababisha kupata watoto wa kiume wenye homoni nyingi za kike, au hata kupata watoto...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

    Anaandika, Robert Heriel Wazazi msiwape watoto wenu mzigo wa kununua upendo wenu kwa kuhangaika ili kuwapa pesa na mali. Upendo haununuliwi. Tabia ya kudai malipo kisa mliwasomesha au kuwazaa na kuwatunza huo ni uhuni. Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

    Kwema Wakuu?! Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
  20. Komeo Lachuma

    Mkitaka kuzaa watoto smart tumieno njia hii. Mtakuja nishukuru baadaye

    Inawezekana kabisa siku hizi kuna watu wengi hawana uelewa mzuri kwa sababu ya aina styles zilizotumika wakati wazazi wao walipokuwa wanafanya mapenzi. Watoto wa siku hizi wengi hawana akili vizuri. Chukulia ile style ya "Kalunguyeye" ... Mtoto atazaliwa anaakili za namna gani? Au mkwezi...
Back
Top Bottom