Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
View attachment 3462018
Kwani tajiri hawezi kutumia ndugu zake kuendeleza mali zake? Mbona pia kuna watoto wengi tu wa matajiri wameshindwa kuendeleza mali za wazazi wao.Faida ni Ku-provide katika nature na pia kuendeleza kizazi .
Kwa tajiri mtoto ni FAIDA ili aendeleze mali na kulinda legacy.
Ila kwa masikini mtoto ni Kama Assets anamzaa ili aje amsaidie kwa baadae.
Faida za Binadamu kuzaa kwa zama hizi zinaenda zinapungua sio kwa matajiri au masikini .
Mfano sasa hivi yapo mpaka makampuni na taasisi ambazo zinaweza kusimamia Mali zako , pesa pasipo kuhitaji watoto .
The same kwa masikini , leo ukiwa masikini na ukazaa mtoto ambaye hautampa Elimu bora, na kumkuza katika mazingira bora unaweza kuendeleza umasikini zaidi.
Faida za jumla -kuzaa ni tendo la asili na faida zake ni uwepo wa watu ili kuiendeleza dunia .
Hao wanaosimamia wakifa nao bila kuzaa watoto nani atasimamia hizo kampuniMfano sasa hivi yapo mpaka makampuni na taasisi ambazo zinaweza kusimamia Mali zako , pesa pasipo kuhitaji watoto .
Mzee wako angemwagia nje tu.Sijui
Ni nature tu , kiuhalisia hata kuishi hakuna faida , ni jambo la asili ya dunia tu.Kuna faida gani kuendeleza asili ya binadamu?
Inawezekana mkuu , Ila kuendeleza mali sio jambo rahisi.Kwani tajiri hawezi kutumia ndugu zake kuendeleza mali zake? Mbona pia kuna watoto wengi tu wa matajiri wameshindwa kuendeleza mali za wazazi wao.
Masikini hawazi itakuaje akizaa mtoto halafu na mtoto mwenyewe naye awe masikini?