Mkitaka kuzaa watoto smart tumieno njia hii. Mtakuja nishukuru baadaye

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,386
Inawezekana kabisa siku hizi kuna watu wengi hawana uelewa mzuri kwa sababu ya aina styles zilizotumika wakati wazazi wao walipokuwa wanafanya mapenzi. Watoto wa siku hizi wengi hawana akili vizuri.

Chukulia ile style ya "Kalunguyeye" ... Mtoto atazaliwa anaakili za namna gani? Au mkwezi? Kibajaji mtaroni? Lazima dish liwe limeyumba. Hakupatikana katika mazingira rafiki kifanyaji mapenzi.

Hawezi akazaliwa ana akili nzuri hata kidogo. "Mwana ukome" atatoka mtoto wa namna gani? Au style ya "rudisha mshiko wangu"...huyo mtoto akija zaliwa lazima atakuwa na mawenge tu.hata mbuzi kagoma inasababisha mtoto azaliwe ana matatizo ya kufikiri.anakuwa mgumu kuelewa.

Style ya "kicheche" pia si nzuri...mwana dada anainamishwa kichwa mpaka chini kabisa anabinua makalio kwa kupinda kiuno na kuacha sehemu ya nyuma yote wazi...akipata mimba hapa mtoto atakuaje?kichwani atakuw mtupu maana kutakuwa kwenye ubongo wake kumeingia na upepo mwingi tu.

"Kimpweko" nayo ukiiangalia sidhani kama inafaa kwa kutafutia mtoto maana jinsi ambavyo mwanamke anakaa kama anasikilizia maumivu mtoto atatoka ana akili gani? Lazima azaliwe mtoto mlalamishi.

"Mwana ukome" hii mwanamke anainamishwa kichwa kinafika chini kisha anakanyagwa shingoni hvyo automatically ili kupunguza maumivu ya shingo anabinua makalio juu huku kayatanua wazi kabisa.... Then ndo anapigiliwa mashine....unategemea nini?

Haya mambo yanasababisha wanazaliwa watoto ambao wana hitilafu kifikra. Kuna watoto siky hizi wabishi acha....wajeuri acha,wajuaji acha,wana matusi acha kabisa,wakorofi acha,wazito kuelewa acha....hawa wote ni matokeo ya styles zilizotumika

Style nzuri ni missionary position. Anazaliwa mtoto mtulivu sana na mwenye akili. Sababu kapatikana kwa njia ya utulivu pia. Kama unabisha jaribu mtoto mmoja mpate kwa style hii na nyingine chagua moja pale juu...wakikua angalia tabia zao. Utanambia.
 
Walahi nimecheka sana😂😂 Kuna mdau alisema style nzuri ni ya POPO KANYEA MBINGU
 
Walahi nimecheka sana😂😂 Kuna mdau alisema style nzuri ni ya POPO KANYEA MBINGU
Hapo akizaliwa mtoto anakuwa na upingaji wa kila kitu. Mjeuri na mkaidi.... Lazima wanachofanya wenzie aone si sawa ila yeye peke yake ndo yupo sawa.
 
Kicheche style ni ipi mkuu nataka nikampogilie mtu
Imeelezewa pale. Anainama ana fika chini halafu kichwa kinaingizwa chini ya uvungu wa kitanda. Anabinua makalio anayaacha huku juu ameyaacha wazi kabisa....we unapiga mashine.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hizo style hatari
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom