kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  2. JamiiForums Tanzania Tafadhari leo Xmas kwa wale wapenda sifa kutumia akiba ya pesa kwa pupa

    Tafadhari kaa mbali na simu usijekutumia simbanking kaa mbali na atmcard leo siyo siku nzuri kwa wale wapenda masifa 😎😎 January school fees
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kupenga makamasi kwa kutumia kitambaa na hajaa kubwa kwa kutumia tissue na kupiga chafya kwa kutumia kiganja,ni usafi na ndio kustaarabika?

    Kwa wengi tuliokulia mijini, bila shaka tumeshiriki katika kuyafanya haya na huenda bado tunaendelea kutekeleza huu utamaduni wa kimagharabiki ambao tunauona ni sahihi na ndio kustaarabika. Tusione aibu na tujadiliane hapa kama kweli hii tabia ya kupenga makamasi na kisha kuweka kitambaa cha...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
  5. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??

    Habarini magreat thinkers Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia FAX

    hABAR WADAU Fax ndio kitu gan na nawezaje kikitumia apa ofisin kuna orinter kubwa ina fax ndan yake ila hiki kitu ni kigen sana kwangu nimeiconnect na ethernet cable from zuku fiber sasa nimebaki na vitu viwili hio ethernet cable ilioenda kwenye printer itasaidia nini na nn kushare printer...
  7. JamiiForums Tanzania kusoma Electrical Engineering kutumia diploma ya computer science kama qualification

    niaje ndugu,inawezekana kwa vyuo vya tanzania kuwa admitted degree ya EE kutukoea diploma ya CS ?
  8. JamiiForums Tanzania DROP YOUR FARITE PICS, Ulizopiga kwa kutumia camera ya simu yako...!!

    Habari wana JF! Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga mimi mwenyewe katika mikoa mbali mbali hapa Tanzania na ninazozipenda wakati wote na zinafaa kwa wallpepar nasuburi uzi wenu wana JF Thank you🙏 photography17
  9. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kutumia neno COPYRIGHT kufananisha vitu viwili?

    Unakuta mtu anasema:" yani huyu mtoto kafanana na baba yake COPYRIGHT!" Hivi ni sahihi kweli kutumia neno hili kufananisha watu/vitu? Ukisoma maana yake ni tofauti na jinsi neno linavyotumika. Tusaidiane hapo je ni sahihi kutumia neno hili ama sivyo? kama sivyo tutumie neno lipi? Asante
  10. JamiiForums Tanzania Dirisha lenye kutumia vioo na gundi yake

    Habari zenu waungwana, napenda kujua na kufahamu, kuna madirisha yale wanayotumia sana maeneo ya vijijini yenye kuwa na baridi sana, napenda kujua gharama ya vioo vyake hua ni vidogo, mfano kioo cha cm 36 kwa 45 ndio vipo vingi na vingine vikubwa vyake vipo cm 98-33 napenda kujua gharama yake na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini tutoe tozo kutumia daraja la Nyerere?

    Hivi kwa nini tulipe tozo kutumia daraja la KIGAMBONI lilojengwa na siye wenyewe kwa kutumia kodi zetu, hata kama ni mkopo toka nje, huo mkopo unalipwa na kodi zetu. Wakati viongozi wanatumbua kodi zetu na trip za ulaya na malupulupu ya kishenzi hata kulipa mishahara watu hewa na wafu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kutumia madawa vizuri na ushauri vimenisaidia kuishi maisha ya kawaida licha ya kuambukizwa HIV

    Na Ronald Mutie Edith Nyambura ni mama wa watoto wawili haoni haya wala kuogopa kuelezea hali yake ya HIV. Alifahamu kuwa ana virusi vya HIV kuanzia mwaka wa 1998, lakini alianza kutumia dawa mara moja na kupata ushauri nasaha kuhusu jinsi ya kuishi na virusi hivyo. Wakati dunia ikiadhimisha...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Wapi niende ili nifanikishe kutumia kipaji changu cha kuigiza kutengeneza kipato?

    Jk
  14. JamiiForums Tanzania Kupata mkopo online kwa kutumia simu

    Habari zenu wadau. Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
  15. JamiiForums Tanzania Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE. ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA: NAKALA YA TIN CERTIFICATE NAKALA YA KITAMBULISHO BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutumia Detention Register ya Polisi ukoje? Ni kila mwaka na Register mpya au ni mpaka iliopo ijae?

    Hili jambo kuna watu wanalielewa vizuri sana na wanaweza kusaidia jamii kujua ukweli ila Watanzania tumekuwa waoga na hivyo wenye kujua wamechagua kukaa kimya. Upotoshaji unapata nafasi kwasababu hii kesi ni ya kisiasa kiasi kwamba hata Polisi wanaolewa utaratibu ukoje wanaweza wasiseme ukweli...
  17. JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

    Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya. ==== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwalimu jiajili kwa kutumia TEHAMA...

    Habari walimu!! Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na wingi wa walimu waliopo na wanaoendelea kumaliza kila mwaka. Kutokana na utafiti niliyofanya kuhusu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wamachinga kutumia majengo ya NHC Kariakoo

    Kufuatia wafanyabiashara wadogo kuandika barua TAMISEMI wakiomba kutumia majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa yaliyopo mitaa ya Tandamti na Msimbazi kwa ajili shughuli zao, Wizara ya Ardhi imeridhia ombi hilo lakini kwa kuwapa majengo matatu yaliyopo mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni karibu kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

    Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi? Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…